Simon Msuva na mawazo ya ki- diamond juu ya mabondia

Simon Msuva na mawazo ya ki- diamond juu ya mabondia

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Leo Simon Msuva alipokuwa JKNIA amesema anatamani na atawasaidia mabondia wa Tanzania.

Mytake
Ni kama vile diamond alivyotuaminisha anahela ya kununua timu ya vpl ,halafu ikatokea mbao inauzwa million 300 tu, hakujitokeza hata kuomba negotiations.

Tahadhari Msuva asiwe kanjanja.
 
Back
Top Bottom