Simon Patrick: Yanga itaenda mahakamani kuweka zuio la kukabidhi timu kwa wazee walioishtaki

Sasa Yanga ana madeni Sugu wakati kalipa na kasajili kama Simba yako.
Nakusisitizia sana kachukue kakozi uepuke aibu ndogo ndogo kama hizi, kizazi chako kitakushukuru baadae. Hakuna mtu hatari kama asiye na maarifa halafu mbishi.
 
Nakusisitizia sana kachukue kakozi uepuke aibu ndogo ndogo kama hizi, kizazi chako kitakushukuru baadae. Hakuna mtu hatari kama asiye na maarifa halafu mbishi.
Niko na wewe mbumbumbu
Mpaka nikupe maarifa
Hivi huko shule ulisoma ukaelewa kweli?
 
Makanjanja wa bao za mikono wameenea kote duniani hata marekani.
 
Fikiria kwa niaba yetu sio kesi.
Huyo mzee mwenyewe kasema anautambua uongozi uliopo na yeye aliwashtaki bodi iliyokuwepo kipindi cha msola. Achana na vi crip vya mtandaoni. Sikiliza mahojia o yake yote utaelewa.

Anyway hukumu ina mwaka sasa toka itolewe, bado wamekazia juzi, nothing will happen.
 
Yanga ni taasisi kubwa inajulikana kila Sehemu hapa nchini inamana kesi ilikuwa inaendelea taasisi haijui kama kuna kesi mahakamani au mnataka watu wote tuonekane mazuzu
Mimi ni tu huru, siwakilishi taasisi ya Yanga, maoni yangu yanakufanyaje uonekane zuzu?

Alieshinda kesi mwenyewe amekiri mzee mmoja ndie alikuwa anaenda kwa niaba ya Yanga. Huyo mzee ni mwanachama tu kama yeye wala sio kiongozi. Pia hiyo kesi imeanza kipindi cha msola, kabla ya Hersi.
 
Nipo hapa mwanzo mwisho mpaka nielewe kinacho endelea.

Ila hawa wazee mbona wanataka tugawane mbao za jahazi na safari haijafika?
Ikigundulika wanatumika na wauni flani, nashauri serkali ituachie wenyewe tujue tunawafanya nini hawa wazee!
***** htr na bado si mnaleta uhuni kwa lawi jiandaeni kisaikolojia sisi simb hiyo michezo yetu tunaijua mchague nyny mjisalimishe au tuwaoneshe umwamba
 
Wakili wenu anasema "watu wawili waliojiita wanachama". Ina maana wahusika siyo wanachama au hiyo kauli ina maana gani?

Wakili wenu anasema ".....alighushi saini ya Jabir Katundu ambaye alilazimishwa". Kauli hiyo ina maana gani? Alighushi au muhusika alilazimishwa? Vyote viwili haviwezi kuwa sawa kwa wakati mmoja.

Hamna mwanasheria hapo.
 
Mimi naongelea mawazo yangu, siko hapa kumsemea huyo wakili.
 
Huy
Swali fikirishi je yanga sc ina mwanasheria mmoja tu?
 
Wakili anayeongoza kwa kushindwa kesi
 
Mimi naongelea mawazo yangu, siko hapa kumsemea huyo wakili.
Usitegemee sana mawazo yako pekee, sikiliza na hoja za wengine utapata jibu bora zaidi. Mawazo yako yakikwambia nenda kanye mbele ya geti la Ikulu, utakwenda?
 
Usitegemee sana mawazo yako pekee, sikiliza na hoja za wengine utapata jibu bora zaidi. Mawazo yako yakikwambia nenda kanye mbele ya geti la Ikulu, utakwenda?
Tufanye hivi hakuna Mwanasheria kama ulivyosema.
Hukumu imetoka, subiri uone kama itaadhiri chochote. Huwa natumia fact zaidi katika reasoning sio ushabiki.

Huyo huyo unaemuona sio Mwanasheria ndie katumia sheria kuweka mazingira magumu kwa fei kucheza simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…