Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bombambili songea mtaa wangu pendwa umeingiaje hapa?Hayo mambo ya madrassa yametokea wapi tena?
Au ndio nyinyi watoto bomba mbili Songea?
Si lazimishi ila Dejan anawadai,ndio ukweli wenyewe.Sasa ungekuwa na utimamu ungezungumzia yasiyo kuhusu,nyie si mpo Misri sasa hapa unafanya nini kama si kushoboka na kujitoa ufahamu.Mbona unalazimisha mambo ambayo hayapo? Ona aibu kidogo basi. Au unataka tukae hapa siku nzima tunabishana kama watu wasio na utimamu?
Hujawahi kufanya biashara au kutafuta hela.Hakuna anayesema msiwe na madeni. Nyie mnakuwaga na madeni sugu ndiyo maana mnafungiwaga. Siyo jambo la kujisifu hilo Sheikh.
Simba ingezuiwa kusajili. Lini umesikia Simba imezuiliwa kusajiri? Hayo mambo tunayasikia huko upande wa pili uhuni mwingi sanaYule mzungu si anawadai FIFA au hakiwa mchezaji wenu aka mlete mzungu? Tatizo lako unasahau sana yako ila unayafuatilia ya Yanga.
Kwani Yanga hatujasajiriSimba ingezuiwa kusajili. Lini umesikia Simba imezuiliwa kusajiri? Hayo mambo tunayasikia huko upande wa pili uhuni mwingi sana
Kwani ukidaiwa ndio unazuiwa kusajili,hizi akili za wapi?Simba ingezuiwa kusajili. Lini umesikia Simba imezuiliwa kusajiri? Hayo mambo tunayasikia huko upande wa pili uhuni mwingi sana
Usijitoe akili. Mpaka mlazimishwe kulipia na fifa kupitia tff? Ina mana mkikutana na mchezaji fala ndio anakuwa keshapigwa. Uhuni tuuKwani Yanga hatujasajiri
Au mbumbumbu mmepata upofu
Hamlipi mpaka mminywe koo na fifa kupitia tff, ala? Mnasubiri mpigwe mkwara ndio mlipe wachezajiKwani ukidaiwa ndio unazuiwa kusajili,hizi akili za wapi?
Sasa mbona Yanga kasajili msimu huu, basi kama ndio hivyo kwa mujibu wa ulicho kiandika Yanga hadaiwi maana kishasajili wachezaji wanne wa kigeni na wengine wa ndani.
Kulipwa wanalipwa lakini hawawezi kuzuia lengo letu.Usijitoe akili. Mpaka mlazimishwe kulipia na fifa kupitia tff? Ina mana mkikutana na mchezaji fala ndio anakuwa keshapigwa. Uhuni tuu
Ok. Naona umeamua kutoka nje ya mada. Ila wacheni kuendesha timu kihuni.Kulipwa wanalipwa lakini hawawezi kuzuia lengo letu.
Sisi sio Makolo, yaani unakaa na Saido performance mbaya unaishia nafasi ya 3 unangoja mkataba uishe
Wewe si umese.a husipo lipa usajili? Sasa mbona Yanga ana sajili? Maana yake Yanga hadaiwi. Kudaiwa kawaida anadaiwa Dangote,ila haindowi kwamba Dejan anawadai so husiogope kudaiwa.Hamlipi mpaka mminywe koo na fifa kupitia tff, ala? Mnasubiri mpigwe mkwara ndio mlipe wachezaji
Sawa DEBORA fc.Ok. Naona umeamua kutoka nje ya mada. Ila wacheni kuendesha timu kihuni.
Halafu unaweza kukuta unaheshimika kabisa mtaani kwako lakini kumbe hata haujui tofauti kati ya "deni" na "deni sugu". Badala ya kuhoji busara ilnayotumika kuleta hao wachezaji wabovu hadi mnapelekwa FIFA umebaki tu kudai biashara lazima iwe na madeni.Hujawahi kufanya biashara au kutafuta hela.
Mambo ya madeni ni kawaida, hata me hapa nadaiwa na mambo yangu yanaenda.
Yaani tukose ubingwa tuwe wanachezi wa ovyo kama Kambole, Konkon.
Tusiingize vyuma kama pacome, Azizi k
Dejan angekuwa anaidai Simba mpaka leo isingeruhusiwa kusajiliSi lazimishi ila Dejan anawadai,ndio ukweli wenyewe.Sasa ungekuwa na utimamu ungezungumzia yasiyo kuhusu,nyie si mpo Misri sasa hapa unafanya nini kama si kushoboka na kujitoa ufahamu.
We kweli mbumbumbuHalafu unaweza kukuta unaheshimika kabisa mtaani kwako lakini kumbe hata haujui tofauti kati ya "deni" na "deni sugu". Badala ya kuhoji busara ilnayotumika kuleta hao wachezaji wabovu hadi mnapelekwa FIFA umebaki tu kudai biashara lazima iwe na madeni.
Hao unaotaja hawana madeni sugu. Embu nenda ukapate walau kakozi ka Accounting 101 au hata Bookkeeping ili uache kujiaibisha.We kweli mbumbumbu
Sajili zinaweza kubuma.
Ulibuma usajiri wa Torres, Hazard, di Maria, Messi.
Ije iwe Yanga kukosea kusajili.
Taasisi zinadaiwa na zinafanya vyema.
Nenda pale man u, Barcelona, Madrid, Ac millan.
Ulizia madeni yao
Sasa Yanga ana madeni Sugu wakati kalipa na kasajili kama Simba yako.Hao unaotaja hawana madeni sugu. Embu nenda ukapate walau kakozi ka Accounting 101 au hata Bookkeeping ili uache kujiaibisha.