Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Nyerere akaadika 7 kati ya 50, alafu akauliza wanaomtaka huyu mwingine aliyekuwa chaguo la mwalimu wakanyoosha wawili Nyerere ankumbuka aliandika 29 alafu wanaomtaka wa tatu akaandika alafu zilizobaki kaandika hawakunyoosha maana ilikuwa vigumu kumbishia maana walikuwa wameinamisha vichwa, akawa amefanikiwa kubalance mamboKumbe Nyerere michezo ya kubadili matokeo ya uchaguzi hajaanza Zanzibar.
"Msimamo wa Nyerere. Msimamo wa Nyerere. Ni kipaji cha mwenyezi Mungu baaba, kapewa tangia tumboni, kabla hajazaliwa"
HAKA KATABIA KUMBE ALIKUWA NAKO TOKA UJANANI HADI UZEENI