figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Nani kakudanganya?Kila mtanzania ana haki ya kuwa mwanachama chama cha siasa anachokipenda.
Unaelewa watumishi wa serikali hawa takiwi kuwa wanachama wa vyama vya siasa.Ili kwa tabia za ccm imepenyeza mpaka JWTZ na usalama uccmKila mtanzania ana haki ya kuwa mwanachama chama cha siasa anachokipenda.
Ongeza na Andengenye anayegombea UbungeHuu ndo uhalisia wa Polisi wa Tanzania.
Wakivua Sare za Polisi ndo unaona sare yake halisi.
Je, Sare ya jeshi la Polisi huwa inatumika kuhadaa Watanzania?
View attachment 3425572
Hapa ni aliyekuwa IGP Mkuu wa Mapolisi wote Nchini baada ya kuvua sare ya Polisi
Ndo maana kila siku tunapigwa Virungu vya ugoko na Polisi tena wanatupiga ili tufe sio tupone.
Saa nyingine nawaza, Ukute ni UVCCM wamevalishwa Sare za Polisi watushughulikieš¤£š¤£
Kwahiyo hapo Sirro angeamua avae nguo za CHADEMA,hatakama anakipenda ?Kila mtanzania ana haki ya kuwa mwanachama chama cha siasa anachokipenda.
Hajawahi kuwa na mapenzi na Chadema, kwa hiyo futa hilo wazo la yeye kuamua kuvaa sare za chadema.Kwahiyo hapo Sirro angeamua avae nguo za CHADEMA,hatakama anakipenda ?
Unaelewa kama mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa ni wajumbe wa vikao vya CCM katika ngazi zao za uongozi ?Unaelewa watumishi wa serikali hawa takiwi kuwa wanachama wa vyama vya siasa.Ili kwa tabia za ccm imepenyeza mpaka JWTZ na usalama uccm
Katiba mbaya. Watu kama hawa inabidi waingie kwenye siasa za vyama baada ya miaka 5 baada ya kustaafu, kuna mifano mingi tu.Huu ndo uhalisia wa Polisi wa Tanzania.
Wakivua Sare za Polisi ndo unaona sare yake halisi.
Je, Sare ya jeshi la Polisi huwa inatumika kuhadaa Watanzania?
View attachment 3425572
Hapa ni aliyekuwa IGP Mkuu wa Mapolisi wote Nchini baada ya kuvua sare ya Polisi
Ndo maana kila siku tunapigwa Virungu vya ugoko na Polisi tena wanatupiga ili tufe sio tupone.
Saa nyingine nawaza, Ukute ni UVCCM wamevalishwa Sare za Polisi watushughulikieš¤£š¤£
Kwa asilimia kubwa kote huko utakutana na wanaccm wabobevu.Huu ndo uhalisia wa Polisi wa Tanzania.
Wakivua Sare za Polisi ndo unaona sare yake halisi.
Je, Sare ya jeshi la Polisi huwa inatumika kuhadaa Watanzania?
View attachment 3425572
Hapa ni aliyekuwa IGP Mkuu wa Mapolisi wote Nchini baada ya kuvua sare ya Polisi
Ndo maana kila siku tunapigwa Virungu vya ugoko na Polisi tena wanatupiga ili tufe sio tupone.
Saa nyingine nawaza, Ukute ni UVCCM wamevalishwa Sare za Polisi watushughulikieš¤£š¤£
Nimekuuliza hatakama ANGEKUA na mapenzi na CHADEMA,kwa fikra zako ANGEVAA?Hajawahi kuwa na mapenzi na Chadema, kwa hiyo futa hilo wazo la yeye kuamua kuvaa sare za chadema.
Nahisi kwasababu ni watendaji wakuu katika usimamizi wa ilani ya chama tawala kilichojishindia uchaguzi wa kidemokrasiaš¤£Unaelewa kama mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa ni wajumbe wa vikao vya CCM katika ngazi zao za uongozi ?
ANgevaa na hasingekuwa kwenye hicho cheo alichopo kwa sasa.Nimekuuliza hatakama ANGEKUA na mapenzi na CHADEMA,kwa fikra zako ANGEVAA?
MaybeNahisi kwasababu ni watendaji wakuu katika usimamizi wa ilani ya chama tawala kilichojishindia uchaguzi wa kidemokrasiaš¤£
Lakini wanaruhusiwa kupiga kura kwahiyo wana uhuru wa kuchagua chama wanachopendaUnaelewa watumishi wa serikali hawa takiwi kuwa wanachama wa vyama vya siasa.Ili kwa tabia za ccm imepenyeza mpaka JWTZ na usalama uccm
Kwanini asivae kwani kuna sehemu uliona kazuiwa?Nimekuuliza hatakama ANGEKUA na mapenzi na CHADEMA,kwa fikra zako ANGEVAA?