Ni jambo jemawajumbe kweye vikoa vya serikali wanayo itumikia, si mbaya
Ni jambo jemawajumbe kweye vikoa vya serikali wanayo itumikia, si mbaya
Na ndiyo maana wanaitwa policcm.View attachment 3425585
Huu ndio uhalisia wa Polisi wa Tanzania?
Wakivua Sare za Polisi ndio unaona sare yake halisi.
Je, Sare ya jeshi la Polisi huwa inatumika kuhadaa Watanzania kwenye baadhi ya matukio?
Hapa ni aliyekuwa IGP Mkuu wa Mapolisi wote Nchini baada ya kuvua sare ya Polisi
Ndio maana kila siku tunapigwa Virungu vya ugoko na Polisi tena wanatupiga ili tufe sio tupone.
Saa nyingine nawaza, Ukute ni UVCCM wamevalishwa Sare za Polisi watushughulikie🤣🤣
Na, ndiyo maana polisi iwe ni services na siyo force.Vilevile,polisi lisiambatanishwe na chama chochote cha siasa/CCM ili kuleta uwanja sawa kisiasa.Kila mtanzania ana haki ya kuwa mwanachama chama cha siasa anachokipenda.
ushawai kuishi hizo nchi au unasikia chooni ukikata gogo siku ukinyimwa uhai wakoTuwaige nchi za kiarabu.Kiongozi mmoja tu, hamna vyama.Mabilioni ya uchaguzi yanajenga barabara na madawa hospitali.
🙋✍️ 📌🔨🎯👏👍🤝🙏💐🛡️View attachment 3425585
Huu ndio uhalisia wa Polisi wa Tanzania?
Wakivua Sare za Polisi ndio unaona sare yake halisi.
Je, Sare ya jeshi la Polisi huwa inatumika kuhadaa Watanzania kwenye baadhi ya matukio?
Hapa ni aliyekuwa IGP Mkuu wa Mapolisi wote Nchini baada ya kuvua sare ya Polisi
Ndio maana kila siku tunapigwa Virungu vya ugoko na Polisi tena wanatupiga ili tufe sio tupone.
Saa nyingine nawaza, Ukute ni UVCCM wamevalishwa Sare za Polisi watushughulikie🤣🤣
Nyerere ndo alikosea aliyepeleka siasa Jeshini kuogopa kupinduliwa hamna jipya hata JK alikua Ruten CanaliUnaelewa watumishi wa serikali hawa takiwi kuwa wanachama wa vyama vya siasa.Ili kwa tabia za ccm imepenyeza mpaka JWTZ na usalama uccm
Kuishupalia sheria bila hekima na soni ni hasara tupu kwa taifa lililolala.Sheria ipi iliyovunjwa?
Ni usalama wa Taifa pekee, kwenye Sheria yao ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2023, ndio imepiga marufuku DGIS kuteuliwa nyashifa nyingine.
Wengine wote:
1)CDF
2)IGP
3)CGP
4)CGI
5)CGF
Sheria haijawabana hivyo wana haki kwa mujibu wa katiba, kuchagua na kuchaguliwa pamoja na kuteuliwa kwenye nyashifa nyingine
kweli hata JWTZ wanaopewa vyeo ni ccm nishagunduaNyerere ndo alikosea aliyepeleka siasa Jeshini kuogopa kupinduliwa hamna jipya hata JK alikua Ruten Canali
Na mimi nauliza mkuu wa mkoa ni Mtumishi wa Umma? ukinipa jibu hata tutakua tumejibu maswali yako yoteSwali langu kwako si kwa ubaya nataka nijifunze..
1)Ulishawahi muona police akiwa hajastaafu kavaa hivyoo..?
2)Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina mkataza kiongozo yoyote wa chombo cha ulinzi akistaafu au akiacha kazi hiyo asijiunge na chama cha siasa?
3)Viapo vyao vya utumishi wa vyombo vya ulinzi vinawakataza wakistaafu ama kuacha kazi wasijiunge na vyama vya siasa?
4)Katiba za vyama vya siasa vinasemaje kuhusu wastaafu wa vyombo vya ulinzi katika kujinga na vyama vyao vya siasa?
Wapo wastaafu wengi tu ambao wapo kwenye vyama vya upinzaniNimekuuliza hatakama ANGEKUA na mapenzi na CHADEMA,kwa fikra zako ANGEVAA?
Dubai nimeenda mara 2ushawai kuishi hizo nchi au unasikia chooni ukikata gogo siku ukinyimwa uhai wako
Ila mchonga meno naye alipitia Magumu kama chadema 🤣🤣🤣Nyerere ndo alikosea aliyepeleka siasa Jeshini kuogopa kupinduliwa hamna jipya hata JK alikua Ruten Canali
Hapana ni mtumishi wa kanisaNa mimi nauliza mkuu wa mkoa ni Mtumishi wa Umma? ukinipa jibu hata tutakua tumejibu maswali yako yote