GE2025 Simon Sirro ndio Mfano wa Polisi Tanzania? Je, Polisi wote ni CCM?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na ndiyo maana wanaitwa policcm.
 
Tuwaige nchi za kiarabu.Kiongozi mmoja tu, hamna vyama.Mabilioni ya uchaguzi yanajenga barabara na madawa hospitali.
ushawai kuishi hizo nchi au unasikia chooni ukikata gogo siku ukinyimwa uhai wako
 
🙋✍️ 📌🔨🎯👏👍🤝🙏💐🛡️
 
Unaelewa watumishi wa serikali hawa takiwi kuwa wanachama wa vyama vya siasa.Ili kwa tabia za ccm imepenyeza mpaka JWTZ na usalama uccm
Nyerere ndo alikosea aliyepeleka siasa Jeshini kuogopa kupinduliwa hamna jipya hata JK alikua Ruten Canali
 
Kuishupalia sheria bila hekima na soni ni hasara tupu kwa taifa lililolala.
 
Na mimi nauliza mkuu wa mkoa ni Mtumishi wa Umma? ukinipa jibu hata tutakua tumejibu maswali yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…