Simon Sirro uliwabipu majambazi, wamekupigia umebaki unahaha

Ni Siro aliyeambiwa I wish I could be IGP au ni Ernest Mangu?

Kumbukumbu Zangu zinaniambia alikuwa Mangu, na baada ya muda mfupi tokea kauli hiyo, alipewa ubalozi Rwanda na ndipo Siro akapewa u-IGP.
Sirro ndio aliambiwa hivyo na ni ile siku Gwajima Yuko pale central afu waumini wake wakaenda pale nje ya kituo cha police wakaimba nyimbo za dini usiku kucha.
 
Surely yes, Polisi wanahusika na ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Lakini pia jukumu la ulinzi na usalama ni la kila raia. Namtetea IGP Sirro. Raia tusaidie kuangamiza majambazi. IGP Sirro ni mtu makini.
 
Majambazi pia hayalali
 
Ni Siro aliyeambiwa I wish I could be IGP au ni Ernest Mangu?

Kumbukumbu Zangu zinaniambia alikuwa Mangu, na baada ya muda mfupi tokea kauli hiyo, alipewa ubalozi Rwanda na ndipo Siro akapewa u-IGP.
Uko sahihi
 
Kundi kubwa lá ndumila kuwili lipo kazini, Viongozi wenye kufanya kazi ya kuwandoa majambazi miogoni mwetu hamuwapendi kabisa.

Na inapotokea majambazi yanatubipu yakishugulikiwa mnaanza kulalamika mitandaoni na kusema serikali inatupa viroba Coco beach.

Lazima ifike wakati tuamue ama tuwe salama ama majambazi yawe salama. Kwa suala la usalama, utulivu na amani mbali ya mapungufu yake mengi naanza kumkumbuka sana Magufuli.

Naamini wanaharakati ikitokea wameuwawa kwa idadi ya kutosha na majambazi tutakuwa wamoja kutaka majambazi yapotezwe hamna namna.

Bado muda kidogo tutaelewana tuu, na tutafahamu kwa nini wasiotaka amani na utulivu wanatakiwa washambuliwe kama wanyama.
 
Wale waviroba sio majambazi ni wapinga jiwe
 
Sijakuelewa mkuu, IGP alisema kila mtu awe na silaha (bundukiau bastola) ndani kujilinda umemaindi halafu unasema wezi wanawawahi majumbani ninyi mna mapanga tu sasa tukueleweje?
Chukua bunduki ujilinde sio sofa hutaki, umevamiwa una panga tu la kujitetea unalalamika unatakaje?
Ni haki yako kisheria kumiliki bastola au bunduki kujilinda na pia sio dhambi?
 
IGP SIRO nakupongeza unafanya vizuri wala usiyumbishwe na kelele ya mitandao endelea kupambana nayo maharifu umeyashika pabaya ndo maana yanakazana kusema jiuzuru usijari mti wenye matunda hupigwa mawe kazi iendelee yatasalender tu yanabipu
 
Yani hata mimi sijamwelewa IGP anatoa elimu ya kutusaidia kutokana na uwezo na uzoefu alio nao yeye anapinga na kudai ajiuzulu.Jeshi la polisi linajitahidi sana pamoja na changamoto za mazingira yao
 
kinachotakiwa asilimia 100% Polisi wakikamata jambazi, ni kupiga risasi tu na kuua.

Wakipata tetesi ya jambazi wakifanya uchunguzi na kujua huyo ni jambazi kweli, ni kupiga shaba za kichwa tu, period!

Nina uhakika ujambazi utaisha kabisa
 

Watu kama wewe Ni either ndo jambazi mwenyewe au Basi utakuwa kiumbe asiyekuwa na shukrani maisha yake yote. Kabla hujaongea soma. Jifunze. Compare. Tulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…