NakaziaPolisi wanajua majambazi ila wanakaa kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaPolisi wanajua majambazi ila wanakaa kimya.
Una hakika? Jaribu kutoa taarifa sahihi.Sirro ndio aliambiwa hivyo na ni ile siku Gwajima Yuko pale central afu waumini wake wakaenda pale nje ya kituo cha police wakaimba nyimbo za dini usiku kucha.
Hebu wewe toa hio taarifa sahihi.Una hakika? Jaribu kutoa taarifa sahihi.
Kweli kabisa! Hakuna jambizi asiyejulikanaPolisi wanajua majambazi ila wanakaa kimya.
Kichwa cha kufugia rasta.Hujui kitu
fafanua hili,Yaaan jambaz hawez kwenda kuvamia bila kupata sapot polis ... wengi hawajui hili
Sio sirro ni ernest aliekua Igp ,wafuasi waliokua wakienda mahakaman ni wamanji ambao ni mashabik wayanga. UsitudanganySirro ndio aliambiwa hivyo na ni ile siku Gwajima Yuko pale central afu waumini wake wakaenda pale nje ya kituo cha police wakaimba nyimbo za dini usiku kucha.
Kauli hii ilitolewa na Hayati Magufuli akionya vituo vya polisi kuvamiwa na askari kuuwawa/kunyang'anywa silaha. Aliagiza wakiona jambazi anasilaha "askari wanatakiwa wamnyang'anye silaha hiyo haraka haraka..." ... "Ninaposema haraka haraka mnanielewa. Kwa nini jambazi aende mahali akafanye ujambazi halafu polisi mshindwe kumnyang’anya silaha yake haraka. Na nyinyi mnazo bunduki na risasi mnazo? ...."Ni Siro aliyeambiwa I wish I could be IGP au ni Ernest Mangu?
Kumbukumbu Zangu zinaniambia alikuwa Mangu, na baada ya muda mfupi tokea kauli hiyo, alipewa ubalozi Rwanda na ndipo Siro akapewa u-IGP.
Sirro IGP. Magufuli aliwahi kukwambia. Namnukuu.. " I wish I kudu bii IGP"...
Wki hizi mbili nimekaa nikiitafakari kauli ile ya Hayati. Alipo isema awali..wengi tulihisi amekudhalilisha...amekudharau na anaingilia mamlaka. Tulikuonea huruma.
Kumbe hukustahili kuonewa huruma hata kidogo. Ukiwa ktk kipindi cha dk 45 ITV na Farhia..
Ulisema hivi... " watanzania wawe na silaha majumbani mwao... Wajilinde. Na sio kuwa tu na masofa na maTV ndani"
Mtangazaji akakuuliza unamaanisha watu wachukue sheria mikononi... Ukajibu kwa kusisitiza... "kabisa kabisa"
Sasa unaona yanayotokea... Majamba sasa yanatuwahi.. Yao yana silaha za moto.. Sisi tuna mapanga. Umeona shida uliyotuletea.
Alafu umebaki una haha. Yani hujui nini ufanye. Alafu bado upo ofisini.!?
Rais Samia muondoe huyu mtu haraka.
"I wish I could be IGP" JPM..
Hii ni ya MATAGAThread ya bavicha hii
Acha chuki zi kienyeji kenge wewe. Sirro akitemguliwa wewe hutoteuliwa kuwa IGP.Sirro IGP. Magufuli aliwahi kukwambia. Namnukuu.. " I wish I kudu bii IGP"...
Wki hizi mbili nimekaa nikiitafakari kauli ile ya Hayati. Alipo isema awali..wengi tulihisi amekudhalilisha...amekudharau na anaingilia mamlaka. Tulikuonea huruma.
Kumbe hukustahili kuonewa huruma hata kidogo. Ukiwa ktk kipindi cha dk 45 ITV na Farhia..
Ulisema hivi... " watanzania wawe na silaha majumbani mwao... Wajilinde. Na sio kuwa tu na masofa na maTV ndani"
Mtangazaji akakuuliza unamaanisha watu wachukue sheria mikononi... Ukajibu kwa kusisitiza... "kabisa kabisa"
Sasa unaona yanayotokea... Majamba sasa yanatuwahi.. Yao yana silaha za moto.. Sisi tuna mapanga. Umeona shida uliyotuletea.
Alafu umebaki una haha. Yani hujui nini ufanye. Alafu bado upo ofisini.!?
Rais Samia muondoe huyu mtu haraka.
"I wish I could be IGP" JPM..
Wizi sio ishu sana, ila unapohusisha mpaka uhai wa mtu.Kila mtu Tanzania ni mwizi katika nafasi yake. Ni kupotezea tu na kuendelea KUFANYA KAZI
Ulisema hivi... " watanzania wawe na silaha majumbani mwao... Wajilinde. Na sio kuwa tu na masofa na maTV ndani"
Mtangazaji akakuuliza unamaanisha watu wachukue sheria mikononi... Ukajibu kwa kusisitiza... "kabisa kabisa"
Sasa unaona yanayotokea... Majamba sasa yanatuwahi.. Yao yana silaha za moto.. Sisi tuna mapanga. Umeona shida uliyotuletea.
Acha kelele,ingia kazini fanya kaxi kama huna akili nzuri,kila mtu afanye kaxi,axha kulia lia,kazi ya majambazi yatakutana na SiroSirro IGP. Magufuli aliwahi kukwambia. Namnukuu.. " I wish I kudu bii IGP"...
Wki hizi mbili nimekaa nikiitafakari kauli ile ya Hayati. Alipo isema awali..wengi tulihisi amekudhalilisha...amekudharau na anaingilia mamlaka. Tulikuonea huruma.
Kumbe hukustahili kuonewa huruma hata kidogo. Ukiwa ktk kipindi cha dk 45 ITV na Farhia..
Ulisema hivi... " watanzania wawe na silaha majumbani mwao... Wajilinde. Na sio kuwa tu na masofa na maTV ndani"
Mtangazaji akakuuliza unamaanisha watu wachukue sheria mikononi... Ukajibu kwa kusisitiza... "kabisa kabisa"
Sasa unaona yanayotokea... Majamba sasa yanatuwahi.. Yao yana silaha za moto.. Sisi tuna mapanga. Umeona shida uliyotuletea.
Alafu umebaki una haha. Yani hujui nini ufanye. Alafu bado upo ofisini.!?
Rais Samia muondoe huyu mtu haraka.
"I wish I could be IGP" JPM..
Hawa askari wa doria za usiku wawe waadili, maana kuna doria zingine zina makando kando mengi sana.Wapunguze mlolongo wa vibali kwa watu kumiliki silaha, waongeze askari wa doria mitaani badala ya kuwajaza barabarani kuchukua ya kubrashia viatu.