residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mkuu,polisi wanawajua waharifu. Wanakula nao sahani moja.Mtoa mada, kazi hii ni ngumu sana, kufikia hapa tulipo na kuweza kulala tulishukuru sana jeshi letu,Rate za ualifu ni ndogo mno kulinganisha na Kenya Uganda na nchi nyingine,kujenga mazingira ya kulinda watu 60ml, kwa idadi ya askari waliopo sio jambo la masihara,ndiyo maana sote tunatakiwa tulisaidie jeshi letu kwa kutoa taarifa za wahalifu.
N.B,NALIPONGEZA SANA JESHI LETU POLEPOLE TUTAFIKA KUTOKOMEZA WAHALIFU,LAKINI SI KUWAMALIZA MAANA KILA SIKU PIA WANAIBUKA WAPYA.