Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shujaa wa nini mkuu wangu!!Shujaa kaumaliza mwendo R.I.P
Shujaa wa nini mkuu wangu!!
Coco beach inaandaa wengine kwa hisani ya makodra.Aiseeh!! Watu wanaamsha si mchezo
CCM.......?View attachment 1459584
Aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi na baadaye jimbo hilo kubadilishwa na kuitwa Momba Miaka ya 1995-2005 Eliakim Simpasa amefariki majira ya saa 7 mchana leo hii katika hospitali ya Mkoa wa Songwe.
Simpasa ambaye aliongoza kamat ya Haki, maadili na Madaraka ya Bunge atakumbukwa namna alivyokuwa kinara wa kuita watu bungeni wakahojiwe pale walipokuwa wakijaribu kugusa mhimili wa Bunge.
Miongoni mwa walioitwa mbele ya kamati ya Simpasa kama walivyoiita watu ni pamoja na Mama Terry, Uongozi wa ITV na Radio one pale mijadala ya kipindi alichoshiriki mama Terry kugusia namna utendaji wa bunge ulivyokuwa hauwaridhishi wananchi, lakini kamati hiyo haikuridhishwa na uendeshaji wa kipindi hicho na kuwaita kuhojiwa.
Simpasa aliangushwa kwenye kiti cha ubunge na Dr Luka Siame 2005-2010, na baadaye jimbo hilo likachukuliwa na Silinde kwa vipindi viwili.
View attachment 1459583
With due respect ninakili Corona ipo lakini kuihusisha na kila kito sio sawa.RIP hii corona kwanini inawamaliza chama tawala ?
Toka maktaba : makubwa aliyoyafanya kwa wananchi wa Momba mkoa wa Songwe Tanzania ni kuwaasa CCM kuwa maendeleo hayana chama waache kubagua !
Mbona simpo tu!With due respect ninakili Corona ipo lakini kuihusisha na kila kito sio sawa.
Tukiwa objective inapendeza zaidi kuliko hivi tufanyavyo.
View attachment 1459584
Aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi na baadaye jimbo hilo kubadilishwa na kuitwa Momba Miaka ya 1995-2005 Eliakim Simpasa amefariki majira ya saa 7 mchana leo hii katika hospitali ya Mkoa wa Songwe.
Simpasa ambaye aliongoza kamat ya Haki, maadili na Madaraka ya Bunge atakumbukwa namna alivyokuwa kinara wa kuita watu bungeni wakahojiwe pale walipokuwa wakijaribu kugusa mhimili wa Bunge.
Miongoni mwa walioitwa mbele ya kamati ya Simpasa kama walivyoiita watu ni pamoja na Mama Terry, Uongozi wa ITV na Radio one pale mijadala ya kipindi alichoshiriki mama Terry kugusia namna utendaji wa bunge ulivyokuwa hauwaridhishi wananchi, lakini kamati hiyo haikuridhishwa na uendeshaji wa kipindi hicho na kuwaita kuhojiwa.
Simpasa aliangushwa kwenye kiti cha ubunge na Dr Luka Siame 2005-2010, na baadaye jimbo hilo likachukuliwa na Silinde kwa vipindi viwili.
View attachment 1459583
Bado babaako. Akifa ututaarifu!Wazee Corona imewapiga sio siri! R.I.P

Bwana Pascal Mayalla , waandishi mtamkubuka sana Mhe. Simpasa enzi zake, kwa sababu kamati yake ambayo yeye alikuwa ni mwenyekiti (Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge) iliongoza sana kwa kuwaita na kuwahiji waandishi wa habari ambao walikuwa wanahoji weledi wa bunge enzi hizo. Waandishi walinyanyasika sana na kamati hii kila wakiandika makala za kukosoa kazi za baadhi ya wabunge!RIP Eliakim Simpasa
P