TANZIA Simpasa Eliakim, Mwenyekiti wa kamati ya haki za Bunge 2000-2005 afariki dunia

duh vifo vimekuwa vingi sasa ,,this is too much
 
Mwalimu mkufunzi wa chuo Cha ualimu kigurunyembe pia alikuwa makamu wa mkuu wa chuo kigurunyembe na mpwapwa alikuwa adui mkubwa wa Oliver P. Mhaiki akiwa mkuu wa chuo na aliestahafu juzi tume ya utumishi ya walimu.
 
CCM.......?

Well,who cares?

We die.
 
KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI, NA HAKIKA ITALIPWA (HUKO AKHERA) KUTOKANA NA YALE ILIYOYACHUMA TU.
HII MAMBO YA KUSEMA R.I.P NA MFANO WAKE NI KUJIFURAHISHA TUU NA KUKAMILISHA MANENO KWA ALIEFARIKI, LAKINI KIUHALISIA HUKO MBELE INATAKA MAANDALIZI YA KABLA.
 
RIP hii corona kwanini inawamaliza chama tawala ?

Toka maktaba : makubwa aliyoyafanya kwa wananchi wa Momba mkoa wa Songwe Tanzania ni kuwaasa CCM kuwa maendeleo hayana chama waache kubagua !
With due respect ninakili Corona ipo lakini kuihusisha na kila kito sio sawa.
Tukiwa objective inapendeza zaidi kuliko hivi tufanyavyo.
 
With due respect ninakili Corona ipo lakini kuihusisha na kila kito sio sawa.
Tukiwa objective inapendeza zaidi kuliko hivi tufanyavyo.
Mbona simpo tu!
Tangazeni sababu ya kifo ili kuzuia wazushaji wasizushe kuwa ni 'kolona'
 

Vipi ' Wuhan Virus ' hakijahusika katika Kuratibu na Kupelekea Kifo chake hiki Kwani kwa sasa ' Kirusi ' hiki kimewapenda Wakubwa wa Tanzania.
 

RIP!😭
 
RIP Eliakim Simpasa
P
Bwana Pascal Mayalla , waandishi mtamkubuka sana Mhe. Simpasa enzi zake, kwa sababu kamati yake ambayo yeye alikuwa ni mwenyekiti (Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge) iliongoza sana kwa kuwaita na kuwahiji waandishi wa habari ambao walikuwa wanahoji weledi wa bunge enzi hizo. Waandishi walinyanyasika sana na kamati hii kila wakiandika makala za kukosoa kazi za baadhi ya wabunge!

RIP Simpasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…