Hayo ndio maisha fake sasa.anaishi kama mtu wa kawaida ndio maana wachache wanamfatilia na anapata deals chache.
Sio mchangamfu
Ana dharau
Kuna interview ya majirani zake niliicheki, majirani wanasema jamaa anaishi kivyake vyake
n.k, n.k, n.k.
Kiba abadilike,
Anaimba bolingo sasaKwanza hivi Kiba bado yupo.au aliacha mziki?
Anawachanganya mashabiki sasa.mara.soka,mala bolingo nangai.Anaimba bolingo sasa
Hapendi show offanawachanganya mashabiki sasa.mara.soka,mala bolingo nangai.
Maisha fake,kweli wewe ni bogus WCB4LIFEHayo ndio maisha fake sasa.
Yaani ujichetue ili upate deals[emoji16][emoji16],unajua hutavutia hata kidogo???
Kuna maisha nje ya usanii,nayo ni ya kawaida saba hayataki upuuzi,ukiyakaribu yanakutia kidole cha macho.
Innocent independentMaisha fake,kweli wewe ni bogus WCB4LIFE
Hapana sio mimiInnocent independent
Issue ya ndoa ni ngumu sana brother, imewashinda mitume na manabii, masikini na matajiri inshort mambo ya ndoa yaache tu kama yalivyoMatatizo ya ndoa yake na vurugu za ndugu zake kwa mkewe zili trend sana.... mtu kama unashindwa ku handle ishu za kifamilia tena za ndoa anakuwaje role model wako?
Lakini hatoboi kimataifa na bado underground over.AMABOKO HIT SONG.Anaimb vzr haimbi mitusi mitusi
Ova
Anaishi kama mtu wa kawaida ndio maana wachache wanamfatilia na anapata deals chache.
Sio mchangamfu
Ana dharau
Kuna interview ya majirani zake niliicheki, majirani wanasema jamaa anaishi kivyake vyake
n.k, n.k, n.k.
Kiba abadilike,
Lakini hatoboi kimataifa na bado underground over.AMABOKO HIT SONG.
Baba yangu unamjua,..!! Laizer ni billionea so alikiba hata theluthi haingiiKama ukisema hivi roho yako inasuuzika, au unaingiza kipato so be hit
Kwepa kuwa msukule ww mahaba ya watu ambao hawakujui unajiumiza bure
Ali kiba mfanye kuwa undeground utakavyo wewe, ila si diamond, rayvanny au lavalava wanavyomuona!!! Wewe ukinga na mahaba ya utimu unaita underground, u team umekulevya na kuwa zoba, zimbwi, mchawi na mtu wa kati!!! Punguani haumo wala zezeta halikutoshi
Ali kiba ana umaarufu kushinda baba yako, mama yako, wewe, vizazi vyako vyote!!
Sasa kaka alikiba undeground na vijana wapambanaji waliopo na wanaokuja kwenye game unawaitaje?
Umechemka, hata ukijibu hii