Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Lakini hatoboi kimataifa na bado underground over.AMABOKO HIT SONG.
Rayvan mbona unahangaika sana [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hatoboi kimataifa na bado underground over.AMABOKO HIT SONG.
Vilaza wengi wanafikirii watu ambao hawajachangamka wana dharauAnaishi kama mtu wa kawaida ndio maana wachache wanamfatilia na anapata deals chache.
Sio mchangamfu
Ana dharau
Kuna interview ya majirani zake niliicheki, majirani wanasema jamaa anaishi kivyake vyake
n.k, n.k, n.k.
Kiba abadilike,
Umewahi kuwa girlfriend wa Diamond nini halafu akakugonga bila ndomu na kukuacha?Mataifa yapi?..mnapenda sana kujitekenya tuzo za sound city mlizokosa juzi mjomba alipita Nazi, MTV kamchana wizkid tuzo ikaja TZ,huyo anaetoboa kimataifa kakosa SOUNDCITY na JUZI KAKOSA BET kachukua BURNA shenzi nyamazeni kabisa.
Usimfananishe rayvanny BET WINNER na utopoloRayvan mbona unahangaika sana [emoji3][emoji3]
Sasa alikiba anahela kwa wasanii wa bongo...!!?? Au umekunywa, msanii wa Kwanza kwa mtonyo East Africa ni DIAMONDSisi ndo tunapenda maisha hayo,kusaka deals isiwe chanzo cha kujivunjia heshima na kuish maisha ya hovyo na maigizo,utajikuta hata deals hazikunufaish coz mkwanja mwingi utautumia kwenye kufake,mabody guard kumi KUNI,wale,wavae,usafiri,ukienda sehemu msafara wa magari 4 had 5,mafuta posho nk, of course watoto wadogo ndo wamekuja na pretendings za ajabu now days, ona akina AY,PROF J,SUGU,JIDE ,mikwanja ya kutosha na wapo simple kama KING, pretending is costiful
Sasa kwani kupanga si uhamuzi wa mtu, DIAMOND Ana hoteli, Tv&redio, label na endorsement za kufa mtu, sasa utasemaje mtu wa aina hiyo anafake maisha.Mnafake sana WCB, ray van anapiga picha kwenye mgorofa kumbe napanga, boss wenu kapanga mbezi,afu anatuaminisha yy ndo msanii mwenye hela zaidi afu anapanga,ndo kufake
Heh!! Kazi kweli kweli.Kama ukisema hivi roho yako inasuuzika, au unaingiza kipato so be hit
Kwepa kuwa msukule ww mahaba ya watu ambao hawakujui unajiumiza bure
Ali kiba mfanye kuwa undeground utakavyo wewe, ila si diamond, rayvanny au lavalava wanavyomuona!!! Wewe ukinga na mahaba ya utimu unaita underground, u team umekulevya na kuwa zoba, zimbwi, mchawi na mtu wa kati!!! Punguani haumo wala zezeta halikutoshi
Ali kiba ana umaarufu kushinda baba yako, mama yako, wewe, vizazi vyako vyote!!
Sasa kaka alikiba undeground na vijana wapambanaji waliopo na wanaokuja kwenye game unawaitaje?
Umechemka, hata ukijibu hii
Sasa unasahau kuwa MTV wa Kwanza East Africa kuchujua ni DIAMOND Tena 2,na pia umesahau kuwa SOUND CITY DIAMOND alichukua MVP na pia alishatangazwa Mara mbili BET 2014 na 2016,na he huyo AJUZA KIBA alishatangazwa Mara ngapi au anafurahia mituzo ya kupewa na EATV[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mataifa yapi?..mnapenda sana kujitekenya tuzo za sound city mlizokosa juzi mjomba alipita Nazi, MTV kamchana wizkid tuzo ikaja TZ,huyo anaetoboa kimataifa kakosa SOUNDCITY na JUZI KAKOSA BET kachukua BURNA shenzi nyamazeni kabisa.
Yani alikiba angekuwa na pesa nyingi Kama rayvanny, hapo sijamtaja diamond, nazungumzia the one and only BET WINNER IN EAST AFRICA watanzania wasingelala usingizi Mara mbili square, so dogo pagan kajambe ulale hapa no AMABOKO THE SUPER HIT SONG [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani Diamond angekuwa na pesa nyingi kama Ali Kiba, Watanzania wasingelala usingizi.
we super kilaza hio "hawajangamka" ni maana gani, au umeshindwa kutype kisa mkono moja unashushia gongoVilaza wengi wanafikirii watu ambao hawajangamka wana dharau
Nilikuwa nasokota msuba wakati na type.we super kilaza hio "hawajangamka" ni maana gani, au umeshindwa kutype kisa mkono moja unashushia gongo