Riz king
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 276
- 549
Miongoni mwa wasanii ambao hapa nyumbani bongo wanaishi maisha yao bila kupretend ni Alikiba. Huyu jamaa hata akizikwa leo naamini watu hawatoshangaa maisha yake maana ha fake kitu chochote.
Me sio mshabiki wako Alikiba lakini najifunza aina ya maisha yako yaliyojaa privacy and confidentiality kibao. Wasanii wengi wa hapa bongo wamejaa unafiki wa hali ya juu mpaka hivi sasa wanashindwa kuaminika.
Kaja juzi Vee Money kajiumbua naamini kuna wengine watafuata au huenda hapo mbeleni likatokea jambo kwa staa yeyote hapa bongo ndo watu wakabaki wanaziba pua. Heko mzee wa dodo.