jaman comment zingine tuwe tunaangalia,unaweza kuta unabomoa badala ya kujenga,hawa watu ni ndugu na ameshakwambia dada yake hana matatizo ila yeye ndie mwenye tatizo nae.mimi nazan ni vizur ukaonana na washaur maana inaweza kuwa ni phychological problem na ishajengeka ndan yako...muombe sana Mungu pia akusaidie katika hili,maana huyo dada yako anaweza pia simama kama mzazi wako,ni razima kuwa makin pia upendo na heshima ni muhimu!!Labda dada yako ni mchawi!
Huyo dada yako labda ni kicheche!!
Oh pole sana Katavi, ila nadhani kwa mtazamo wangu kwa sababu dada yako ni mtoto wa kike wa kwanza na wewe ni mtoto wa kiume wa pekee tena wa mwisho, sasa inawezekana wewe unaona kama yeye anapewa kipaumbele katika mambo fulani amabayo kwa mtazamo wako ulipaswa kupewa wewe.Heshima wakuu, nikiwa mtoto wa mwisho na mvulana pekee katika familia hii nimekuwa sina mahusiano mazuri na huyu dada yangu wa kwanza. Yeye hana matatizo nami, ila mimi nikiwa nae nakosa amani kabisa na ile hali ya kujiamini inapotea kabisa. Kifupi ni kuwa nitakuwa na amani na kujiamini zaidi nikiwa naongea na mzazi kuliko mbele ya huyu dada, na hii ndio inasababisha nimchukie na kumkwepa mara nyingi..... Hivi hii ni kawaida?? Naombeni ushauri katika hili..
Heshima wakuu, nikiwa mtoto wa mwisho na mvulana pekee katika familia hii nimekuwa sina mahusiano mazuri na huyu dada yangu wa kwanza. Yeye hana matatizo nami, ila mimi nikiwa nae nakosa amani kabisa na ile hali ya kujiamini inapotea kabisa. Kifupi ni kuwa nitakuwa na amani na kujiamini zaidi nikiwa naongea na mzazi kuliko mbele ya huyu dada, na hii ndio inasababisha nimchukie na kumkwepa mara nyingi..... Hivi hii ni kawaida?? Naombeni ushauri katika hili..
kuna uwezekano mkubwa saaana kua wazazi wanakupenda wewe most (ni last born na the only boy) to the extent kua wanakudekeza kupita maelezo. Hilo suala husababisha dada yako kua mlezi mzuri kwako kuliko hata wazazi, Yawezekana yeye ndie uhakikisha uko katika mstari, kukujenga na kukuelekeza mienendo ya maisha, kukukemea ukikosea n.k - Kwa ufupi Yaani yeye ndie kachukua nafasi ya malezi bora - yoote yale ambayo mzazi anafanyia wanawe (na ndio maaana watoto wengi huchukia wazazi maana huona kama wanaonewa ama kukabwa - mpaka awe mkubwa na akili timamu ndio anajua kua ah! kumbe wazazi had best interest in me) Hivo hiyo chuki ambayo ingelenga wazazi ipo kwa dada ambae anafanya mambo dhidi yako out of LOVE.
Msome vyema AshaDii kuna point za maana sana hapo .kazi n kwako