Simpendi na sikumchagua Magufuli lakini naunga mkono 100% msimamo wake kuhusu Korona

Tatizo linakuja pale wanaosema kuna corona kukutana na vitisho vya dola. Inawezekana yeye hataki kukiri kwa sababu anazozijua, lakini serikali inapoendelea kusema hakuna corona na anayekiri hadharani kuwa ipo anakutana na vitisho, inaleta walakini. Ifahamike huo ugonjwa sio tatizo ama kosa la serikali, bali ni tatizo la dunia nzima, iweje iwe nongwa ama dhambi watu kukiri hadharani? Wengi hatuungi mkono kuwekwa lockdown, lakini bado serikali inaweza kutangaza kurejea kwa awamu ya pili ya hivyo virus, na hatua za awali zikachukuliwa hasa fungu kutengwa ili kupambana na athari za huo ugonjwa huko mahospitalini, ama zile hela za ugonjwa toka kwa wazungu zimeliwa?
Wewe ni mtu mzima ushasikia kuna awamu ya pili jilinde mwenyewe usitusumbue wala usimsumbue muheshimiwa
Vaa barokoa
Nawa mikono
Kaa ndani kwako
Usitusumbue
Wakufa watakufa na wakuishi wataishi
Nature itaamua yenyewe
 
tropical Mola katujalia kinga za asili
Mkuu Inadaiwa maisha magumu yametusaidia sana kuliepuka janga hili. Ecuador wako tropical region lkn wimbi la kwanza la korona liliwatafuna hatari

Sisi mtoto anazaliwa anaishi ndani ya chumba chenye mifugo, nafaka, pembejeo, dawa za chooni na vumbi lq kutosha.

Mchanganyiko huu ni zaidi ya korona. Mwili unajiandaa kuyakabili yote haya.
 
Wewe unataka selikali ifanyaje kuhusu corona?

Sitaki inafanyie nini mimi kama mimi, bali ichukue wajibu wake kwa kutangaza kurejea kwa huu ugonjwa, na kisha iweke vifaa tiba vya kutosha huko mahospitalini. Atakayekufa sio kosa la serikali bali ni tatizo la dunia nzima, na atakayebaki salama ni vyema pia. Lakini sio serikali kuendelea kusema hakuna corona, huku taarifa zikitoka sehemu mbalimbali bila udhibitisho wa serikali.
 
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏽
Kila mahali kuwe na vitakasa mikono, kutokuwa na mikusanyiko ya lazima nk.

Fungu lililotolewa na wazungu kwa ajili ya kupambana na Corona lingenunua vifaa tiba huko mahospitalini. Ama unataka mgonjwa akipelekwa hospitalini aachwe kisa ugonjwa huu hauna tiba?
 
Wewe unataka Magufuli akufanyie nini kuhusu corona?
Asijitenge na raia wake. Wawe pamoja na waambizane ukweli juu ya janga hili. Kauli ya Rais ina uzito mkubwa sana kwenye jamii. Hivi sasa kuna mgawanyiko ndani ya familia zetu dhidi ya tahadhari. Wako wanachukua tahadhari na wako wanaosema hakuna haja kwani Rais alishasema Tanz hakuna corona.

Kwamaana hiyo basi tungependa kusikia msimamo wake/Serikali juu ya janga hili.
 
lkn kwa mshangao baba hakuwaondolea hofu familia yake
Amewaondolea kwa kuwaambia nyoka katoka nje kupitia mlango wa nyuma.

Ndiyo maana JPM kakomaa kwa kusema korona haipo nchini ili kutuondolea hofu.

Lkn angekiri hadharani hapo angesabbisha hofu kubwa.
 
Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpk leo hakuna kinga, ukimwi una nusu karne mpk leo hakuna chanjo, halafu leo miezi 9 tunaambiwa Kuna chanjo ya korona! Rubbish!!

Njia na mbinu zinazopendekezwa kuchukuliwa kuepuka korona hazitekelezeki na zinaongeza tatizo. Tumeona maandamano na mabishano hata ktk mataifa makubwa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na kwingineko wananchi wanapinga makatazo na masharti mbalimbali ya kujikinga na korona yanayowekwa na viongozi wao.

Sasa watanzania wenzangu mnaoshinikiza na kumtaka JPM atoe tamko kuhusu korona naombeni mnijibu. Mnatakaje? Alishasema tumuachie Mungu. Sasa kelele za nn?

Hivi mnataka JPM atangaze kitu gani kifanyike hapa nchini ili kuizuia korona zaidi ya kumwachia Mungu?

Awafungie watanzania ndani? Hawa hawa watanzania wanaokula kwa kufanya umachinga na uchuuzi? Hawa hawa wanaolima na kuvuna ndipo wapate mlo? Hawa hawa wanaochunga mifugo yao kwa kuzunguka nayo maporini? Ulaya kuna zero grazing. Hapa Tanzania na nchi zote za Afrika tutauwa watu na mifugo kwa njaa.

Na ndiyo maana South Africa hali ilikuwa tete, na pale Kenya ulifanyika usanii tu wa kuzuia watu kutoka usiku, halafu mchana kutwa wako majiani. Usanii mtupu. Uganda wamejikanyaga wakashindwa. Usiitolee mfano Rwanda. Kale kanchi ni kadogo sawa na kisiwa cha Unguja ndiyo maana wanagawana gunia kumi za unga kwa siku na zinawatosha.

Halafu hii kunawa nawa, nayo pia Ni ujinga tu. Unanawa halafu unaingia kwenye daladala kubanana? Mnashea kikombe cha maji ya kunywa nyumba nzima? Mnashea kete za bao, kopo la mbege, komoni na wanzuki? Acheni zenu bhana! BTW, kirusi kinauawa kwa kunawa? Sanitizer inauwa kirusi? Unazijua tabia za kirusi?

Virus is immortal. Why? This is because Virus is the RNA/DNA particle. Na ndiyo maana mpk leo ukitaka DNA/RNA ya dinosaurs walioishi miaka milioni150 iliyopita utapata.

Mnataka atangaze watanzania wavae barakoa? Hawa hawa wanaokosa hata leso ya kufutia kamasi? Hawa hawa wanao omba mia tano ya kununua kipande cha muhogo?? Hapa tutasababisha mlipuko wa magonjwa mengine. Maana watu wanaweza kuvaa kitambaa mwezi mzima bila kukifua.

Tumuunge mkono JPM (simtaji kama mheshimiwa rais kwa kuwa ushindi wake ktk uchaguzi wa 2020 mpk siku nakufa sitaukubali), lkn kwenye suala la korona namuunga mkono 100%.

Tuweke pembeni chuki na tofauti zetu zote za kila aina tuangalie uhalisia. Msimamo wa JPM ktk suala la korona unaendana na uhalisia na ndiyo njia bora ya kuifuata. Hayo mataifa yanayojitia kuwafungia na kupiga sanitizer watu wake wamefanikiwa kiasi gani kujikinga na korona?

Halafu hivyo vifo Cha mmoja mmoja vinavyotokea mbona ni kidogo sana kuliko vile vya magonjwa kama malaria, TB, ajali, ukimwi, n.k?? Kwann hivi havihesabiwi??

Wewe mwenye unafuu wa maisha kaa ndani tuache walala hoi tuendelee kuzurura na kupengeana makamasi ili miili yetu ijenge kinga asili dhidi ya korona. (Kajisomee types of immunity, kuna natural na artificial).

Nimemaliza.
Kwanini anasema corona hamna wakati watu wanaugua?
 
Hii ni sawa na baba aliyeketi barazani jioni na familia yake kisha wote wakamuona nyoka akiingia ndani lkn kwa mshangao baba kwakuwaondolea hofu familia yake, kawaambia yule nyoka kazunguka nyumba na kutokomea zake. Watoto na mama yao wameingia ndani kwa hofu kubwa. Kwa hali isiyo ya kawaida baba yule kawaaga na kuwaambia anakwenda kutembelea mifogo yake hivyo hatakuwepo pale usiku ule. Kijijini hakuna umeme na baba kaondoka na tochi.

Hapo familia itaacha kumlaumu baba??
Je ni sahihi baba kuidanganya familia yake??
mfano mfu, kwani huko chato aliko ni mbinguni ambako korona haifiki?
 
Mficha ugonjwa vifo VITAMUUMBUA!

Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpk leo hakuna kinga, ukimwi una nusu karne mpk leo hakuna chanjo, halafu leo miezi 9 tunaambiwa Kuna chanjo ya korona! Rubbish!!

Njia na mbinu zinazopendekezwa kuchukuliwa kuepuka korona hazitekelezeki na zinaongeza tatizo. Tumeona maandamano na mabishano hata ktk mataifa makubwa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na kwingineko wananchi wanapinga makatazo na masharti mbalimbali ya kujikinga na korona yanayowekwa na viongozi wao.

Sasa watanzania wenzangu mnaoshinikiza na kumtaka JPM atoe tamko kuhusu korona naombeni mnijibu. Mnatakaje? Alishasema tumuachie Mungu. Sasa kelele za nn?

Hivi mnataka JPM atangaze kitu gani kifanyike hapa nchini ili kuizuia korona zaidi ya kumwachia Mungu?

Awafungie watanzania ndani? Hawa hawa watanzania wanaokula kwa kufanya umachinga na uchuuzi? Hawa hawa wanaolima na kuvuna ndipo wapate mlo? Hawa hawa wanaochunga mifugo yao kwa kuzunguka nayo maporini? Ulaya kuna zero grazing. Hapa Tanzania na nchi zote za Afrika tutauwa watu na mifugo kwa njaa.

Na ndiyo maana South Africa hali ilikuwa tete, na pale Kenya ulifanyika usanii tu wa kuzuia watu kutoka usiku, halafu mchana kutwa wako majiani. Usanii mtupu. Uganda wamejikanyaga wakashindwa. Usiitolee mfano Rwanda. Kale kanchi ni kadogo sawa na kisiwa cha Unguja ndiyo maana wanagawana gunia kumi za unga kwa siku na zinawatosha.

Halafu hii kunawa nawa, nayo pia Ni ujinga tu. Unanawa halafu unaingia kwenye daladala kubanana? Mnashea kikombe cha maji ya kunywa nyumba nzima? Mnashea kete za bao, kopo la mbege, komoni na wanzuki? Acheni zenu bhana! BTW, kirusi kinauawa kwa kunawa? Sanitizer inauwa kirusi? Unazijua tabia za kirusi?

Virus is immortal. Why? This is because Virus is the RNA/DNA particle. Na ndiyo maana mpk leo ukitaka DNA/RNA ya dinosaurs walioishi miaka milioni150 iliyopita utapata.

Mnataka atangaze watanzania wavae barakoa? Hawa hawa wanaokosa hata leso ya kufutia kamasi? Hawa hawa wanao omba mia tano ya kununua kipande cha muhogo?? Hapa tutasababisha mlipuko wa magonjwa mengine. Maana watu wanaweza kuvaa kitambaa mwezi mzima bila kukifua.

Tumuunge mkono JPM (simtaji kama mheshimiwa rais kwa kuwa ushindi wake ktk uchaguzi wa 2020 mpk siku nakufa sitaukubali), lkn kwenye suala la korona namuunga mkono 100%.

Tuweke pembeni chuki na tofauti zetu zote za kila aina tuangalie uhalisia. Msimamo wa JPM ktk suala la korona unaendana na uhalisia na ndiyo njia bora ya kuifuata. Hayo mataifa yanayojitia kuwafungia na kupiga sanitizer watu wake wamefanikiwa kiasi gani kujikinga na korona?

Halafu hivyo vifo Cha mmoja mmoja vinavyotokea mbona ni kidogo sana kuliko vile vya magonjwa kama malaria, TB, ajali, ukimwi, n.k?? Kwann hivi havihesabiwi??

Wewe mwenye unafuu wa maisha kaa ndani tuache walala hoi tuendelee kuzurura na kupengeana makamasi ili miili yetu ijenge kinga asili dhidi ya korona. (Kajisomee types of immunity, kuna natural na artificial).

Nimemaliza.
 
Ama unataka mgonjwa akipelekwa hospitalini aachwe kisa ugonjwa huu hauna tiba?
Hapana mkuu. Wagonjwa watibiwe.

Lkn fungu la wazungu huwa linaambatana na masharti ya kufanya lockdown. Ndiyo maana Kenya wanalazimika kuifanya lockdown kisanii.
 
Wewe ni mtu mzima ushasikia kuna awamu ya pili jilinde mwenyewe usitusumbue wala usimsumbue muheshimiwa
Vaa barokoa
Nawa mikono
Kaa ndani kwako
Usitusumbue
Wakufa watakufa na wakuishi wataishi
Nature itaamua yenyewe

Mimi sijui ww ni nani, nimetoa mtazamo wangu dhidi ya serikali, labda useme ww ni msemaji wa serikali.
 
Unaunga mkono pia kufanya suala hili liwe la siri?

Usipotoshe kuhusu types of immunity.Kuna wataalam humu wanakucheka sana wakiona dhana yako kuhusu immunity.
 
Amewaondolea kwa kuwaambia nyoka katoka nje kupitia mlango wa nyuma.

Ndiyo maana JPM kakomaa kwa kusema korona haipo nchini ili kutuondolea hofu.

Lkn angekiri hadharani hapo angesabbisha hofu kubwa.
Kweli kabsaa hata usingiz hupati
Nasema korona hakuna tz
 
Back
Top Bottom