Simpendi na sikumchagua Magufuli lakini naunga mkono 100% msimamo wake kuhusu Korona

Wewe ni mtu mzima ushasikia kuna awamu ya pili jilinde mwenyewe usitusumbue wala usimsumbue muheshimiwa
Vaa barokoa
Nawa mikono
Kaa ndani kwako
Usitusumbue
Wakufa watakufa na wakuishi wataishi
Nature itaamua yenyewe
 
tropical Mola katujalia kinga za asili
Mkuu Inadaiwa maisha magumu yametusaidia sana kuliepuka janga hili. Ecuador wako tropical region lkn wimbi la kwanza la korona liliwatafuna hatari

Sisi mtoto anazaliwa anaishi ndani ya chumba chenye mifugo, nafaka, pembejeo, dawa za chooni na vumbi lq kutosha.

Mchanganyiko huu ni zaidi ya korona. Mwili unajiandaa kuyakabili yote haya.
 
Wewe unataka selikali ifanyaje kuhusu corona?

Sitaki inafanyie nini mimi kama mimi, bali ichukue wajibu wake kwa kutangaza kurejea kwa huu ugonjwa, na kisha iweke vifaa tiba vya kutosha huko mahospitalini. Atakayekufa sio kosa la serikali bali ni tatizo la dunia nzima, na atakayebaki salama ni vyema pia. Lakini sio serikali kuendelea kusema hakuna corona, huku taarifa zikitoka sehemu mbalimbali bila udhibitisho wa serikali.
 
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏽
 
Wewe unataka Magufuli akufanyie nini kuhusu corona?
Asijitenge na raia wake. Wawe pamoja na waambizane ukweli juu ya janga hili. Kauli ya Rais ina uzito mkubwa sana kwenye jamii. Hivi sasa kuna mgawanyiko ndani ya familia zetu dhidi ya tahadhari. Wako wanachukua tahadhari na wako wanaosema hakuna haja kwani Rais alishasema Tanz hakuna corona.

Kwamaana hiyo basi tungependa kusikia msimamo wake/Serikali juu ya janga hili.
 
lkn kwa mshangao baba hakuwaondolea hofu familia yake
Amewaondolea kwa kuwaambia nyoka katoka nje kupitia mlango wa nyuma.

Ndiyo maana JPM kakomaa kwa kusema korona haipo nchini ili kutuondolea hofu.

Lkn angekiri hadharani hapo angesabbisha hofu kubwa.
 
Kwanini anasema corona hamna wakati watu wanaugua?
 
mfano mfu, kwani huko chato aliko ni mbinguni ambako korona haifiki?
 

Mficha ugonjwa vifo VITAMUUMBUA!
 
Ama unataka mgonjwa akipelekwa hospitalini aachwe kisa ugonjwa huu hauna tiba?
Hapana mkuu. Wagonjwa watibiwe.

Lkn fungu la wazungu huwa linaambatana na masharti ya kufanya lockdown. Ndiyo maana Kenya wanalazimika kuifanya lockdown kisanii.
 
Wewe ni mtu mzima ushasikia kuna awamu ya pili jilinde mwenyewe usitusumbue wala usimsumbue muheshimiwa
Vaa barokoa
Nawa mikono
Kaa ndani kwako
Usitusumbue
Wakufa watakufa na wakuishi wataishi
Nature itaamua yenyewe

Mimi sijui ww ni nani, nimetoa mtazamo wangu dhidi ya serikali, labda useme ww ni msemaji wa serikali.
 
Unaunga mkono pia kufanya suala hili liwe la siri?
 
Usipotoshe kuhusu types of immunity.Kuna wataalam humu wanakucheka sana wakiona dhana yako kuhusu immunity.
 
Amewaondolea kwa kuwaambia nyoka katoka nje kupitia mlango wa nyuma.

Ndiyo maana JPM kakomaa kwa kusema korona haipo nchini ili kutuondolea hofu.

Lkn angekiri hadharani hapo angesabbisha hofu kubwa.
Kweli kabsaa hata usingiz hupati
Nasema korona hakuna tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…