Ya batani lakini iphone haingii ndani unaambiwa
We unaona cm ya kawaida kwa macho yako lkn hiyo ni zaidi ya unavyoiona ni special order from Nokia
We unaona cm ya kawaida kwa macho yako lkn hiyo ni zaidi ya unavyoiona ni special order from Nokia
hilo nalo neno na amejuaje kama inauzwa kwa bei hyoYeye kamuona nayo wapi?
Unachobisha hapo ni nini sasa?Hata kama ni bei kubwa lakin sio 16m mkuu
Vip hyo cm ina tv ndan?
Mbona haifanani na ile picha ya Michuzi?Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]
Ndio ina you tubeVip hyo cm ina tv ndan?
Kumbe sio tachiHiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]
Hata juice ninayokunywa ni Made by hand, zinauzwaga miatatu tu,Made by hand, sio hiyo tu mimi nini kiatu cha Gilberto Almani made by hand nilinunua milioni 1.