Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Ya batani lakini iphone haingii ndani unaambiwa

Usilete utani. Ukisema simu masna yake ni iPhone. Hizi zingine hata iuzwe million 100 ni ufahari sio kuwa ubora wake inazidi iPhone. iPhone ni level zingine za technology. Usirudie tena.
 
Jinsi alivyo busy, unaweza kukuta anaitumia zaidi kupiga na kupokea simu tu. 85% ya applications zipo redundant.
 
Ni vema tena busara za maana na siku zote vya kale ni dhahabu na usishangae dangote kutumia simu ya batani kumbuka simu ipo kwa ajili ya mawasiliono
 
Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]


53fc17aaa5118967dfa728344c4a17ce.jpg
Mbona haifanani na ile picha ya Michuzi?
 
Back
Top Bottom