Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni simu gani nzuri kununua kwa bei ndogo, kwa hiyo thread hii itakuonesha simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 4 na simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 3. Hizi ni baadhi tu maana simu zipo nyingi sana ila nitataja chache tu.
Bila kupoteza muda naanza kuzitaja.
A: SIMU ZA LAKI 2 HADI LAKI 3
Kwa hii Bei wengi wetu tungeenda kudaka simu used ila haimaanishi hakuna simu nzuri kwa bei hii. Actually kama unataka simu used tafuta Sony Xperia 10 IV au Sharp Aquos R6. Kama unazipata katika good condition zinafaa.
Kwa wale wa simu mpya, tafuta simu hizi.
1. XIAOMI REDMI 10C
Simu hii ilitolewa na kampuni ya Xiaomi mwaka 2022 na Bei yake Tanzania ilikuwa 340K ila sasahivi bei imefika hadi 260K. Redmi 10C bado inabaki kuwa miongoni mwa simu bora zaidi za bei rahisi kutokana na chipset yake ya Snapdragon 680. Ina kioo kizuri kwa Bei yake, inakuja na MIUI 13 na itapata update ya HyperOS, ina 3GB na 4GB RAM version huku storage inafika hadi 128GB, battery ni 5000mAh na inatunza sana chaji. Kamera ni acceptable kwa bei na unaweza kuifanya iwe bora zaidi kwa kudownload Google camera
2. XIAOMI POCO C65.
Simu hii kwa jina lingine inaitwa "Redmi 13C 4G". Advantage zake ni kwamba inakuja na design nzuri, amazing build quality for the price, inatunza sana chaji, inatoa picha nzuri wakati wa mchana, ina tundu la earphones (3.5mm jack), ina microSD slot, 90Hz display na unakuta chaja ndani ya box. Uzuri wa simu hii unaweza kupata version ya 8GB RAM 256GB kwa 280,000/=, processor ni MediaTek Helio G85.
3. SAMSUNG GALAXY A05S.
Simu hii inakuja na Snapdragon 680, display nzuri ya LCD, 3.5mm jack, microSD slot, design nzuri na kamera nzuri wakati wa mchana. Kwa bei ya 300K hii ni one of the best entry level phones
4. XIAOMI POCO M5S.
Hii ni nzuri kuliko hizo za juu. Ina IP53 rating, very bright 90Hz OLED display, fast charging (1hr 24min) na inakuja na chaja kwenye boksi, speaker mbili (stereo) zenye sauti kubwa na nzuri, performance kubwa kuliko simu nyingi za bei hii, selfie camera Iko poa sana, ina NFC, microSD, IR blaster, FM radio, 3.5mm jack, etc. Bei ni 280K
5. MOTOROLA MOTO G04s.
Hii ni simu nzuri nayo kwa 210K, ina Android 14, MediaTek Helio G85, IPS LCD panel with upto 537nits peak brightness, software yake ni nzuri sana (ni kama Stock Android), ukaaji wa chaji ni next level na vitu vingine ni kama tu low end nyingine
B: SIMU ZA LAKI 3 HADI 4
1. SAMSUNG GALAXY A15 4G
Samsung Galaxy A15 ina design nzuri, bright 90Hz OLED display, inatunza sana chaji, inachaji faster kwa simu za bei rahisi, ina kamera nzuri wakati wa mchana, chipset nzuri (MediaTek Helio G99) microSD slot, 3.5mm jack na FM radio. Uzuri wa hii simu ni software. Ina Android 14 na inatumia One UI 6 ambayo sio One UI Core version ambayo Samsung anaweka kwenye low end zake. Hii ni full One UI na unapata karibia features zote kasoro Samsung DeX, Always on Display na Galaxy AI ambayo kwa sasa ni Samsung Galaxy S24 series ndio zinazo, next S22 na S23 series ndio zitapata Galaxy AI ila sio hizi A series. Hadi feature ya Studio video editor ipo kwenye Galaxy A15. Lastly unapata 4 major Android updates na 5 One UI updates na bei ni laki 3 na nusu.
Bado ninarecommend kutafuta Galaxy A15 ya kawaida badala ya Galaxy A15 5G kwa sababu A15 ya kawaida ina Bei ya chini, na GSMArena wamenotice A15 5G ina sluggish UI compared to Galaxy A15 4G na ukiondoa 5G hamna kingine kikubwa cha kufanya uongeze hela kutafuta Galaxy A15 5G wakati hii ya kawaida ni nzuri tayari.
2. XIAOMI REDMI NOTE 13 4G
Hii nayo ni simu nzuri kwa bei hii, ina premium design, thin bezels, 120Hz bright OLED display, stereo speakers, Dolby Atmos, fast charging, kamera nzuri sana zote mbili, ya mbele na ya nyuma, IP54 rating, rangi nzuri na Gorilla Glass 3 protection, Qualcomm Snapdragon 685
Inakuja na Android 13 MIUI 14 ila inapata 3 years of major Android updates, 4 years security patches. Maana yake itakuwa supported hadi Android 16 HyperOS 4.
Cha kushangaza hii ni simu ya TSh 380K tu lakini inakuja na fingerprint scanner chini ya kioo kama tu kwenye flagship. Tumezoea kuona low end phones zina fingerprint scanner kwa nyuma au pembeni, ila kwenye hii Redmi ipo chini ya kioo.
3. TECNO POVA 5 PRO
Tecno Pova 5 Pro ina design nzuri na unique, very fast charging for the price, Bei nzuri ukilinganisha na performance, kamera nzuri usiku na mchana, software ya HiOS ina features nyingi, 3.5mm jack, dedicated microSD slot, na ina kila kitu ndani ya box. Kwa 350K ni simu nzuri sana.
Ingawa haina OLED display ila bado LCD panel hapa ni nzuri kama inavyoonekana
4. REALME 10 PRO.
Realme 10 Pro ina chipset nzuri, Qualcomm Snapdragon 695, utunzaji wa chaji ni excellent,, kamera kali sana mchana na usiku, Android 13 na software yake "Realme UI" ina a lot of optimization.
Kwa 370K ni simu nzuri ingawa Haina OLED panel ila ina high quality LCD display.
5. XIAOMI POCO M6 PRO.
Xiaomi Poco M6 Pro ni nzuri kuliko simu nyingi hapo juu.
Kwanza inakuja na Xiaomi 67W Turbo Fast charger kwenye box ambayo inajaza simu kwa dakika 48 tu, Pili design nzuri na high build quality, ina Gorilla Glass 5 protection na IP54 ingress protection, very bright, flagship level and sharp 120Hz AMOLED display na good refresh rate handling, inatunza sana chaji, nice hybrid stereo speaker setup, kamera nzuri wakati wa mchana, microSD slot, 3.5mm jack na IR blaster.
Inakuja na Android 13 MIUI 14 ila inapata 3 years major Android updates na 4 years security patches maana yake itapata Android 16 na HyperOS 4.
. Picha zake hizi hapa chini.
Next time nitaandika kuhusu simu 10 za kununua kama budget ni laki 4 hadi laki 7 na laki 7 hadi milioni 1