Simu Bora zaidi kununua kwa Sasa (2024)

Simu Bora zaidi kununua kwa Sasa (2024)

Na mimi pia nna swali:

1. Galaxy S22 (sio Ultra)
2. Galaxy A55
3. Redmi (mode sizijui ila ya under 1m)
4. Oppo (kama juu)
5. iPhone 13 (sio pro)

Ipi naweza pata kali.

Sahivi nna iPhone 11, Pixel 5 na iPhone X ya backup.
 
Chipset ya mediatek helio 99 iliyopo kwenye A15 bado ina stuck. Niliwahi tumia Sharp Aqous sense 7 na R6. Simu zipo fasta kuzidi. Kwa bajeti ya 380k mpaka 400k unaweza miliki hiyo mitumba.
images (1).jpeg

images.jpeg
 
Chipset ya mediatek helio 99 iliyopo kwenye A15 bado ina stuck. Niliwahi tumia Sharp Aqous sense 7 na R6. Simu zipo fasta kuzidi. Kwa bajeti ya 380k mpaka 400k unaweza miliki hiyo mitumba.View attachment 3120348
View attachment 3120350
Ipi Kati ya hizo haina button moja ya home screen. Yaani Ile kurudi nyumbani inakua na libatani limoja katikati..... Ipi HAINA?
 
Hii simu nzuri sana, lakini hakikisha unanunua yenye Chinese rom, ukichukua yenye globle rom utapata shida ya network.
Unaweza nielezea globe rom ikoje na Chinese rom ikoje
 
Unaweza nielezea globe rom ikoje na Chinese rom ikoje
Hizi simu zimetoka ni Chinese version tu, hakuna globe version, sasa Hawa wauzaji wameweka rom ya Poco f5 ambayo ni globe version. Kwa simu hii Redmi note 12 turbo usije ukachukua yenye globe rom utapata shida ya network fluctuate.
 
Hizi simu zimetoka ni Chinese version tu, hakuna globe version, sasa Hawa wauzaji wameweka rom ya Poco f5 ambayo ni globe version. Kwa simu hii Redmi note 12 turbo usije ukachukua yenye globe rom utapata shida ya network flactuate.
tafadhari tumia lugha rahisi tusio wa tech tukuelewe
 
tafadhari tumia lugha rahisi tusio wa tech tukuelewe
Hizi simu ni special Kwa china, sasa wauzaji wametaka soko la kimataifa na hapo Kwa kuweka rom ya kimataifa, hapo ndio shida ya network inatokea inapanda na kushuka, sasa ili usipate shida ya network chukua yenye Chinese rom. Achana na hizi za global rom.
861.png
 
Nauza Redmi note 13 pro 4G
Simu ni mpya
IPO kwenye box lake
Mawasiliano
WhatApp 0763443210
 
Naomba kuuliza, Kuna hii inaitwa XIAOMI REDMI 14C,( 450k,128gb,8gb,13mp front camera,50mp rear camera) nahitaji kununua, vipi ufanisi wake kwa anayefahamu....
 
Chipset ya mediatek helio 99 iliyopo kwenye A15 bado ina stuck. Niliwahi tumia Sharp Aqous sense 7 na R6. Simu zipo fasta kuzidi. Kwa bajeti ya 380k mpaka 400k unaweza miliki hiyo mitumba.View attachment 3120348
Samahani hii cm naitaka sana sema ni laini moja hivi hii R6 kuna yenye laini mbili?? Maana now nataka cm yenye adge aise.
 
Naomba kuuliza, Kuna hii inaitwa XIAOMI REDMI 14C,( 450k,128gb,8gb,13mp front camera,50mp rear camera) nahitaji kununua, vipi ufanisi wake kwa anayefahamu....
Hio Bei ipo juu sana, Unapaswa uinunue 300k na si zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom