Simu Bora zaidi kununua kwa Sasa (2024)

Tigoshop kwa Xiaomi, hawana model zote ila nyingi zipo,

Samsung unaenda Authorised seller yoyote wamejaa wengi kkoo ahakikishe tu ina warranty na haijafunguliwa, same kwa Tecno.
Mkuu nimewaza tu wewe na mleta uzi mkianzisha maduka ya kuuza simu mtauza sana
Mf; myaite c&c au chief & chale phones and accessories mbona mtauza sana.
 
Anataka umtafunie kila kitu wabongo bhana!! 😅
 
Hadi Tecno? Jamanii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo nilikuwa siandiki kampuni, nilikuwa naandika majina ya simu nzuri. Kama ulikuwa unataka kuziona iPhone hapa basi ingeshindikana maana iPhone hawatengenezi simu za laki 3

TECNO kudharaulika na Waafrika haimaanishi kuwa hawawezi kutengeneza simu nzuri hata hizi za short term use
 
350k unapata simu gani nzuri ya midrange yenye ram4-6gb na android 13?
 
Realme 12 pro+ bongo ipo? Shilingi ngapi? Naona ina kidhi vogezo vingi ninavyo vitaka
 
Naomba kuuliza hii simu poco M6 pro 5G
kutoka India inaweza fanya kazi vizuri kwa hapa bongo, hasa upande wa Mtando na ubora wake ukilinganisha na budget.
nataka kuangizia India.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-06-22-23-22-51-953_com.android.chrome.jpg
    527.9 KB · Views: 32
  • Screenshot_2024-06-22-23-23-14-232_com.android.chrome.jpg
    380.8 KB · Views: 35
Mkuu, Hii Redmi note 13 pro 4g

Kwa bei umepost 380k naomba Link yake nikajionee, pia kuna sehemu niliona ume reccomend Redmi note 13 pro 5g around laki tano naomba link pia, natafuta sipati.

Aksante
 
Mimi najitahidi Samsung ya kuanzia laki sita hadi nane na nusu, ni ipi bora kwa sasa. Naomba msaada wako kabla ya kwenda dukani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…