Simu Bora zaidi kununua kwa Sasa (2024)

Umejibu vizuri sanaa mkuu, hongera kwa level hii ya maturity. Nilichojifunza wabongo wengi hununua simu kwa kuangalia watu wangine wanasemaje yaani mtu ananunua kulingana na mahitaji ya mtu mwingine. 🤣🤣🤣.

Hapo ukimuuliza kwanini sio tecno! Akija na facts based na requirements zake basi ni mmoja katika 100.
 
Sijajua kama kuna sumsung yenye kuaka na chaji kama a02.
Niliwahi kuitumia ,simu inakaa na chaji hadi kero!
 
Mkuu habari yako, kati ya Samsung a53 na Samsung s21 fe ipi ni bora ktk eneo la chaji? Pia ina kioo smooth ktk touch?

Chief-Mkwawa Reuben Challe
Kioo S21FE, Chaji A53, sema simu zote mbili sio choice nzuri kama unataka simu inayokaa na chaji Samsung za hio budget ni A34 ndio inakaa na chaji zaidi. Ila nayo perfomance na display quality ni Ya kawaida sana.
 
Mkuu vipi,, naomba nichambulie vivo y28 5g,, 6 kwa 128 gb na reasonable bei yake

Bajeti yangu ni 400k mpaka 450k je, refurb ipi au simu gani ina quality nzuri ya kioo hasa ktk kuchat na kukaa na chaji?
 
Bajeti yangu ni 400k mpaka 450k je, refurb ipi au simu gani ina quality nzuri ya kioo hasa ktk kuchat na kukaa na chaji?
Kama perfomance sio issue tafuta tu midrange mkuu, kwa hio bei unapata Simu za Dimensity 8100 ama snapdragon 778G etc.

Kama ni Samsung tafuta A52s, kuna Vivo V29, Oppo, Xiaomi na simu nyengine nyingi.
 
Mkuu vipi,, naomba nichambulie vivo y28 5g,, 6 kwa 128 gb na reasonable bei yake
Ni simu ya kawaida mkuu kama Samsung A15 ama A15 5G ni lowend kwa watu wenye budget ndogo chini ya laki 4. Binafsi ningechagua A15 kuliko Hio Y28.

Simu za Vivo ambazo ni All around na zina features nyingi hata kushinda Midrange za Samsung ni Vivo V series. V29, V30, V40 etc hizi zina prioritize Display quality na Camera.
 
Mimi nimeipenda size yake, siyo pana sana
 
Mimi nimeipenda size yake, siyo pana sana
Ni size common kwa simu zote mpya, simu yoyote ya karibuni yenye kioo 6.4-6.6 itakua na wembamba huo. Simu za sasa ni nyembamba halafu ndefu.
 
Nilinunua Poco X6 Pro aisee, ninainjoi nayo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…