Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nahitaji simu ya bei ya kawaida tu lakini iwe na camera kali kiasi ukimpiga mtu picha amevaa nguo unaona mpaka ndani na kama ni mwilini hadi unaona viungo vilivyoko ndani maini, figo,firigisi, utumbo n.k
Natamani sana na ninawaza kuweza tengeneza simu ya namna hiyo. Huu ugunduzi ni wangu kabisa na najua nitauza sana. Ukimchukua mtu video unaona mpaka anachowaza. Unaona mapigo yake ya moyo n,k. hii simu itakuwa na camera ambayo ni kali sana kiasi unaweza kuona bacteria vizuri kabisa bila chenga.
Naomba wadau wengine wa teknolojia tuweze kutana na kushare haya maujuzi.. tutakuwa matajiri sana niaminini mimi. Kila teknolojia ilianzia kwenye mawazo na kuonekana haiwezekani ila watu wakapambana na hatimaye kufanikiwa. Njooni tujiunge sisi wenye akili na wavumbuzi.