Simu gani inajaa chaji mapema zaidi ya hii

Zipo Nyingi Sana Mojawapo Ni Samsung Galaxy A12 Duos
 
Hakuna haja yakuacha simu kwenye charge overnight...kama iphone(joking)
Unaamka asubuhi unaboost shorlty inakutosha kwa siku nzima.....
Pia uhitaji wa battery kubwa utapungua kwasababu hata ikikuishia chaji unaboost kwa muda mfupi sana
 
Hili panga linakata kote kote, maana battery nayo inakufa mapema, mwaka ama miaka 2 kama una matumizi makubwa kwisha kazi, battery inatakiwa ibadilishwe.
Tusubiri labda uko baadae watazifanyia marekebisho.

hivi simu yenye 240W.inatumia muda kiasi gani mpaka simu ijae full
 
Tusubiri labda uko baadae watazifanyia marekebisho.

hivi simu yenye 240W.inatumia muda kiasi gani mpaka simu ijae full
Bado hazijatoka kwa simu ila prototype ya Xiaomi ya 200W inatumia dakika 8 kujaza simu.
 
Sijutii Samsung yangu A12 nachaji ndani ya dakika 20 full chaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…