Simu gani inajaa chaji mapema zaidi ya hii

Mkuu hii ni application gani umetumia kuangalia capacity ya betri lako?
Hio ni built in service mode ya Sony, kutokana na kampuni na kampuni njia zinatofautiana.

Ipo app inaitwa accubattery unaweza tumia simu yoyote ya android, sema inabidi ucharge simu mara kadhaa kupata jibu zuri.
 
Ahaa shukrani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…