Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Nikiwa na 550k nitaondoka chombo ipi nzuri full box?Redme au Samsung karibu nikuuzie bei nzuri
Kama unataka za bei rahisi zaidi ninazo pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa na 550k nitaondoka chombo ipi nzuri full box?Redme au Samsung karibu nikuuzie bei nzuri
Kama unataka za bei rahisi zaidi ninazo pia
Na mimi nangoja jibu lake.Nikiwa na 550k nitaondoka chombo ipi nzuri full box?
MkuuUsed phones hapana
Ngoja niangalie hapa samsung a series ipi itabalance kwenye bajeti ya laki 4. Nataka kununua simu mbili total nina laki 8, sitaki izidi bei zaidi ya hapo
Umeshakua tena muuza sim broo?Pixel 4a gb128 ram4 njoo inbox
Usijifanye unanijua sana mzee pita hiviUmeshakua tena muuza sim broo?
Mkuu kamera yake iko poa? Vitu vingine inanitosha kabisa, nahutaji tu uhakika wa kameraNunua mpya Samsung A15 4G 4/128 bei yake 350,000 unapata. Faida zake:
1. Battery kubwa ya 5000 mAh muhimu kwa watu wazima na wa vijijini.
2. Samsung ina software updates nyingi hivyo haiwezi lag na kuwa outdated mapema kama hizo Infinix na Tecno.
3. Samsung ina stable software, camera inayodumu quality na reliability ya parts kama mic, speaker, etc.
4. Kioo kikubwa, three camera lenses kwa ajili ya "washamba" wa kijijini ambao huamini lenzi tatu "macho matatu" ni simu nzuri zaidi. Ukitoa zawadi zingatia mapokeo ya mpokeaji sio mtazamo wako.
5. Vifaa vya A series ni bei nafuu kuliko vya Note, Z na S series. Hasa screen bei inavumilika.
Ninahisi ni simu za wazazi. Usisahau kununua Samsung adapters za type C to C maana A series haziji na chaja, price about @13k. Pia nunua cover around @7k , protector ni @3k.
Camera yake ni mid haina maajabu mkuu. Na kwa sasa A15 na A05s zimepanda sana.Mkuu kamera yake iko poa? Vitu vingine inanitosha kabisa, nahutaji tu uhakika wa kamera
Bado ipo mkuu?Wazee nauza simu yangu Samsung A25 niko tabata kinyerezi.
Tuwasliane
0628731833