Simu gani ninunue kwa bajeti ya laki nne?

Simu gani ninunue kwa bajeti ya laki nne?

Niwashukuru wote kwa ushauri mliotoa nimeweza kununua simu ya pili Leo. Nilitamani kununua AO5s ila ni GB 64, ili wote wapate GB 128. Nimenunua simu nyingine A15

Pia nime upgrade ile simu ndogo na kununua Nokia 5310. Kuna mdau alinishauri kuhusu Philips 101, ila kiwango chake bado kidogo.
Screenshot_20240817_153639_Gallery.jpg
 
Pixel 4a 5g inaweza ukakuta imefungwa.
Mpaka sasa hamna alieweza kuifungua simu yangu niinunue mwaka jana kwa hio hai acccess internet moja kwa moja ispokuwa wife tu.
Pixel used zinachangamoto sana, ukinunua hio hakikisha inaunga data kabla hujaenda nayo nyumbani.
Ni simu ngumu hata ikidondoka iko durable sana, ina kamera nzuri mno kuliko sumsang, ina sound hd nk, night vision nzuri mno, inauwezo wa kuchuja vibration na noise vizuri mno. Ina security nzuri.
Inafaa sana kwa support ya multimedia user mwenye bajeti ndogo kama yako.
Sum sang hapo utapata S8 na nduguze.
Samsang s8 ina memory capacity ndogo gb64 japo unaweza kuibust na memory card wakati pixel utapata gb128 na unaweza kubust memory ya gb64.
Nakushauri nunua pixel 5 kama unaweza ila hakikisha una hakiki internet.
Mchina sio mkuu zaidi utafaidi charge storage basi. Ikidondoka inaweza zima mda huo huo.
Wanunulie nduguzo vitu durable sio cheap.
Sitathubutu kununua tena simu za mchina kasoro HUAWEI bora kujichanga au kununua used. Used nyingine ni kama mpya tofauti ni model tu.
 
Xiaomi redmi note 12 Tigoshop 430,000 kama unataka ku stretch budget kidogo, probably simu nzuri zaidi Mpya kwa hio budget.

Kwa budget kidogo chini ya Hapo Samsung A15 sio mbaya around 300,000-350,000
Mkuu Chief Mkwawa kwa bajeti ya 450k-500k simu ipi itanifaa?
Ambapo camera, performance na battery kwa kiasi chake nitafurahia
 
Back
Top Bottom