Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Hivi kuolewa si mpaka utongozw.e kwanza?
sio lazima..unaweza ukatongoza........au makubaliano ya wazazi kisha ukapelekwa tu kwa mumeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuolewa si mpaka utongozw.e kwanza?
Hahahahaaaa.No komenti for now...........kama huamini anagalia ameshaanza kumtokea Salha hapo juu!!! jasiri haachi asili hata akiacha jina
Naomba kutongozwa tafadhali...........sio lazima..unaweza ukatongoza........au makubaliano ya wazazi kisha ukapelekwa tu kwa mumeo
thnx,naona tumuache asubiri kutangaziwa kama anavyosema.
Nashangaa inakuwaje unaficha nini ama kweli ndoa kazi bora nisiolewe
Angalia yasikukute ya Sungura!:A S tongue:
Naomba kutongozwa tafadhali...........
Kha!:A S tongue:
Angalia yasikukute ya Sungura!:A S tongue:
ni yapi hayo?
khee! Kwani wewe Asprin ni She au HE au SHEMALE??????
naona unanichanganya sana yani...........
Nshatongozwa sana ila naona Uvuvuzela tu cjaona mapenzi ya kweli siku hz lol!!!Hivi kuolewa si mpaka utongozw.e kwanza?
Wadau jamani hapa kuna tatizoo!!
Hivi naomba kuwekwa sawa katika hili jambo kwani nafahamu mambo haya kwenye jamii yanajirudia lakini inategemea ni wakati gani na mazingira yapi!,Mpenzi wangu anataka kila simu inayopigwa afahamu SMS aisome!! nikisema kila mmoja ana simu yake hivyo haifai kufatiliana kwenye simu ya mwenziye anasema je Una love afair nje zaidi yangu??Nimeweka securty code anataka ajue code yake!! hapo ndo ugonvi unapokuja kisa eti kama mimi nimpenzi wake kwanini nifiche??nakwanini niweke securty code??yeye eti kwanini afichi??Je hiyo ni halali kunyanyaswa kwenye simu yangu?Kwanini kila mmoja asikae na simu yake?kwanini utafute shari kwenye simu ya mwenziyo eti nyie wabeijing nini jamani??:A S 39:??
ha ha ha connect them dots....:fish2:khee! Kwani wewe Asprin ni She au HE au SHEMALE??????
naona unanichanganya sana yani...........
ni yapi hayo?
Inang'ata kote kote... kuna mwenzi mwingine akipewa uhuru na simu maana yake kapewa uhuru wa maswali ya kipolisi... utajibu swali la kwanza, linazaa lingine.. mwishowe inakuwa kesi bin balaa..!! Tukubali tusikubali... kila mtu inafikia wakati anahitaji faragha katika baadhi ya vitu, mawazo n.k.
Mfano: Fikiria sms yenye utata ya mtu (ambae wote hamumfahamu) inaingia ktk ki-selula cha barafu wako na unaisoma... wadhani atatumia nguvu kiasi gani kukuelimisha?!!!
Nakubali kusahihishwa!!:lying: