Simu inapokuwa sisimua!!!


Kama ni mpenzi wako mwana usiruhusu ajue kila unachokijua wala asimjue kila unaemjua. kama ni mke hiyo inakua level nyingine koz anaweza akajua 90% ya mambo yako.....kaza buti man....Tena akizidi kuifuatilia simu yako nunua na Tv ya Pili kila mtu awe na yake na hukuna wa kuangalia TV ya mwenzake ndo atajua upo serious na simu yako....Hop umenisoma
 
mpe asome klwa sababu kinacho mfanya ang'ang'anie ni tabia zako ameshazishtukia.au badilika mpaka imani imrudie ndio uanze tena hayo mambo yako.
 
Asprin
JF Premium Member


heheheeh kiongozi usije ukaoverdose wagonjwa aisee.


beki to ze topik: hako kasimu mimi huwa namuachiaga waifu anakachezea kama katoyz ,hata samtaimu ikipigwa simu namuambiaga apokee (huwa anakasirikaga ananiambia "sasa mie mke wako au sekretari wako?).
 
Inang'ata kote kote... kuna mwenzi mwingine akipewa uhuru na simu maana yake kapewa uhuru wa maswali ya kipolisi... utajibu swali la kwanza, linazaa lingine.. mwishowe inakuwa kesi bin balaa..!! Tukubali tusikubali... kila mtu inafikia wakati anahitaji faragha katika baadhi ya vitu, mawazo n.k.
Mfano: Fikiria sms yenye utata ya mtu (ambae wote hamumfahamu) inaingia ktk ki-selula cha barafu wako na unaisoma... wadhani atatumia nguvu kiasi gani kukuelimisha?!!!

Nakubali kusahihishwa!!:lying:
 

Hapo kwenye bold ndio mashaka huanza; Kwa nini ahitaji kutumia nguvu kukuelimisha na si busara ili uelewe?:A S-eek:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…