sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Smartphone kibao siku hizi zimekua kubwa sana aisee, hasa hizi za line mbili ambazo kibongobongo ni wengi tunatumia line za ziada.
Nakumbuka zamani simu kibao zilikuwa zinakaa kiganjani unakuta saizi yake ni incni 5.0 kushuka chinim yani kiganjani unatumia fresh.
hizi mpya yani kawaida kukuta nyingi zinaanzia inchi 6.2 na kuendelea, yani haya kukaa kiganhani inabid utanue sana kiganja na muda mwingine itabidi utumie mikono miwili.
Mfano, kwa miaka hii miwili 2021 na 2022 hakuna smartphone yenye kioo chenye ukubwa angalau wa 5.5 kushuka chini.
Unafurahizhwa na hizi saizi?