Simu mpya ghali kabisa zazinduliwa na Elon Musk!

Simu mpya ghali kabisa zazinduliwa na Elon Musk!

Milioni mbili tu??? Hiyo simu ijiandae
Bora ufanye mambo mengine maana hizi tetesi ni za muda mrefu ... Sema mtoa mada naye mwongo mwongo anatuaminisha Tesla wataitoa mwezi August kitu ambacho hata kampuni haijatoa taarifa.

 
Hii sim inipite mbali hata nikipewa bure nitaiuza tu. Yaani unatembea na kiwanja unaishi nyumba ya kupanga?
Shoga yangu ana macho matatu ila dah maisha yake mmmh au mm bahili?
Pesa yangu ambayo naweza kuitoa kujinunulia simu mwisho laki 5. Ikizidi hapo labda nipewe bure.
Uko sahihi..simu ni kifaa cha mawasiliano tu , ila priorities za watu zinatofautiana kwenye mambo mbali mbali.
 
Back
Top Bottom