Simu mpya ghali kabisa zazinduliwa na Elon Musk!

Simu mpya ghali kabisa zazinduliwa na Elon Musk!

Watu wanajua marketing, eti maisha yako yote unapata internet bure kutoka starlink wakati baada ya mika 5 au 6 itakuwa outdated mtu alazimike kununua nyingine maana kuendelea kukaa nayo itakuwa hiyo internet haina maana
Miaka 5 haikutoshi kwa Internet free
..voda akikupa MBS za masaa 24 zinaisha ndan ya dakika
 
maisha ya kuigiza yana gharama zake.
Yako na gharama mno, na kuna gharama za kulinda hilo igizo!
Kikubwa nunua simu yako ya wastani mpya dukani, utakaa nayo vya kutosha.
Bahati nzuri kinachopatikana kwenye simu ya gharama kubwa ndio hicho hicho kinachopatikana kwenye simu ya wastani.
 
Miaka 5 haikutoshi kwa Internet free
..voda akikupa MBS za masaa 24 zinaisha ndan ya dakika
Hapo zingatia free internet maisha yako yote. Siku hizi internet cheap hapa tuna fiber internet 70,000 mwezi mzima
 
Hakuna such thing as internet miaka yako yote, hiyo ni gaharama
Inawezekama maana kila kitu siku hizi ni disposable. Siku hizi hata simu ina muda wake wa matumizi, haiwezi kuwa ya milele. Angalia hata hizi computer na Simu za Apple ikifika muda fulani unakuwa huwezi ku-update sofware etc. Huyu jamaa anaweza kufanya ikawa ya miaka miwili. Baada ya miaka miwili anatoa toleo jipya na unalazimika kununua simu nyingine.
 
Hiyo laki tano naitoa nalia kabisa.

Tuishi maisha yetu halisi haya maisha ya kuigiza yana gharama zake.
Imagine nilivyo bahili simu niliyo nayo niliinunua 2021 ahaaaaaa yaani mpaka ikome. Nabadirisha protector na cover tu
Hata hivyo kinadada ni watunzaji wazuri wa simu, kazi zao na hata matumizi yao sio makubwa sana kama wanaume.
Uwezekano wa wao kukaa na simu moja kwa muda mrefu ni mkubwa basi tu ni tamaa na kupenda kufata mkumbo kunawafanya wengi wao hadi watweze utu wao kupata simu mpya, kuendana na trend.
 
Inawezekama maana kila kitu siku hizi ni disposable. Siku hizi hata simu ina muda wake wa matumizi, haiwezi kuwa ya milele. Angalia hata hizi computer na Simu za Apple ikifika muda fulani unakuwa huwezi ku-update sofware etc. Huyu jamaa anaweza kufanya ikawa ya miaka miwili. Baada ya miaka miwili anatoa toleo jipya na unalazimika kununua simu nyingine.
TECNO,ITEL<ORAIMo na ndugu zake ndio wana life span, vyuma kama iphone ni chuma cha mjerumani.
 
Inauzwaje wanawake wa shoka tujiandae.....
2,257,211.76 Tanzanian Shilling

Na bado hizo ni tetesi na hizi hapa ni picha za kubuni hazina uhalisia hadi sasa

5.png
4.png
5.png
4.png
 
Back
Top Bottom