Simu niliyoagiza China kupitia AliExpress, naona imekwama kunifikia

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,020
Reaction score
1,057
Habari ndugu zangu.

Niliagiza simu kupitia AliExpress mwezi wa 12 mwaka jana.

Mzigo unaonekana umefika Tanzania tangu tarehe 2 Januari 2026. Tracking number inaonyesha “customs clearance started”.

Ni zaidi ya wiki tatu sasa mzigo umekwama kwenye ukaguzi wa forodha, na naona Speedaf ndio wanapaswa kuniletea. Nifanye nini ndugu zangu, maana tarehe za kupokea mzigo ambazo AliExpress waliniwekea tayari zimeshapitiliza
 
Hapo brother huwa kuna mlolongo mrefu sana, hata mimi nikiagiza mzigo sehemu ambayo inachukua mda mrefu ni hapo.
Nakushauri Subiri na utatoka ila kama ukiona mzigo umevuka muda wa delivery date hapo jua kuna shida
 
Kuwa na subra....kama ulishawai agiza chochote na ukapigiwa simu na wale jamaa wa kikuku, wapigie simu waulize
 
Habari ndugu zangu.

Niliagiza simu kupitia AliExpress mwezi wa 12 mwaka jana.

Mzigo unaonekana umefika Tanzania tangu tarehe 2 Januari 2026. Tracking number inaonyesha “customs clearance started”.

Ni zaidi ya wiki tatu sasa mzigo umekwama kwenye ukaguzi wa forodha, na naona Speedaf ndio wanapaswa kuniletea. Nifanye nini ndugu zangu, maana tarehe za kupokea mzigo ambazo AliExpress waliniwekea tayari zimeshapitiliza
Kuwa mvumilivu watakufikishia tu, nadhani huenda bado wanakamilisha utenganishaji wa mizigo .

Nimeagiza na speedaf mara kadhaa sijawahi poteza mzigo
 
Habari ndugu zangu.

Niliagiza simu kupitia AliExpress mwezi wa 12 mwaka jana.

Mzigo unaonekana umefika Tanzania tangu tarehe 2 Januari 2026. Tracking number inaonyesha “customs clearance started”.

Ni zaidi ya wiki tatu sasa mzigo umekwama kwenye ukaguzi wa forodha, na naona Speedaf ndio wanapaswa kuniletea. Nifanye nini ndugu zangu, maana tarehe za kupokea mzigo ambazo AliExpress waliniwekea tayari zimeshapitiliza
mtumie messaje muuzaj pale allexpress kwamba hujapata mzigo na kwakuwa delivery ishapita omba refund faster wakurudishie hela na watafanya ivo usichelewe ukichelewa itajitiki kuwa imekuwa received

nilishawah agiza mzigo nauona umefika lkn siupat nikawasiliana na aliyeniuzia allexpress na kumpa malalamiko yang

ikapiga posta makao makuu post wakasema niufate posta flan akat asubuh nilienda wakasema aupo nikarud wakanipa sometimes bhn post wana mambo ya ovyo.
 
Nipeni uzoefu wa kuagiza vitu Aliexpress, hao speedof ni wakina nani???????
-Fungua account Alexpress
-Weka contact details zako kama namba ya simu na Sanduku la Posta na barua pepe
-Weka kiasi cha kiasi cha pesa kwenye Visa (Mpesa Visa, unaweza pia tumia bank account inayoruhusu online payments)

Anza kusearch bidhaa utakayo,ukiichagua kuna sehemu ya kulipia then unatumiwa tracking#, ambayo utakuwa unajulishwa toka mzigo unatoka huko mpaka unafika bongo, ukifika Tanzania, kama utauchukulia Posta ama Kikuu ambao ni agents wa Speedaf ambao ndo wasafirishaji.
Kuna mizigo ambayo utalipia kodi ambayo itakaguliwa na afsa wa TRA pale posta na utakayochukulia Kikuu ni haina kodi, japokuwa na posta mingine haina kodi pia.
 
-Fungua account Alex press

Thanks😘
 
Attachments

  • Screenshot_20260118_124136_AliExpress.jpg
    Screenshot_20260118_124136_AliExpress.jpg
    37.8 KB · Views: 41
Shida inakuwa Tanzania, nadhani ni namna yetu ya kufanya mambo taratibu, bila kujali na uzembe.

Niliagiza machine mbili ndogo kupitia Kikuu last Yr November, wachina walifanya haraka sana hdani ya wiki mbili zilikuwa Dar, changamoto ikawa kusort mzigo, kuupeleka kwa watu wa delivery hadi kunifikia. Ilibidi niende ofisi zao pale Shoppers Plaza, Mikocheni. Napo bado niliwekwa kama wiki hivi nasubiria, nimeupata January hii, imagine toka November.

Fuatilia ujue mzigo ulipo.
 
Ndio maana Mimi huwa nakataga tamaa Kabisa
 
mtumie messaje muuzaj pale allexpress kwamba hujapata mzigo na kwakuwa delivery ishapita omba refund faster wakurudishie hela na watafanya ivo usichelewe ukichelewa itajitiki kuwa imekuwa received

nilishawah agiza mzigo nauona umefika lkn siupat nikawasiliana na aliyeniuzia allexpress na kumpa malalamiko yang

ikapiga posta makao makuu post wakasema niufate posta flan akat asubuh nilienda wakasema aupo nikarud wakanipa sometimes bhn post wana mambo ya ovyo.
Fanya hivi..
 
Shida inakuwa Tanzania, nadhani ni namna yetu ya kufanya mambo taratibu, bila kujali na uzembe.

Niliagiza machine mbili ndogo kupitia Kikuu last Yr November, wachina walifanya haraka sana hdani ya wiki mbili zilikuwa Dar, changamoto ikawa kusort mzigo, kuupeleka kwa watu wa delivery hadi kunifikia. Ilibidi niende ofisi zao pale Shoppers Plaza, Mikocheni. Napo bado niliwekwa kama wiki hivi nasubiria, nimeupata January hii, imagine toka November.

Fuatilia ujue mzigo ulipo.
Hii ndio maana halisi ya Bongo nyoso !
 
Ukikamilisha account unakuwa na address kama hii hapa chini
Hua naagiza Kikuu sijawahi Aliexpress kwa kuhofia kua hawana wakala, umenifumbua akili kua kumbe Kikuu wana connection nao, naweza kupokea mzigo wangu kupitia wao, basi wiki ijayo najaribu kuagiza kitu kidogo nione kitanifikiaje.
 
Back
Top Bottom