Kuwa mvumilivu watakufikishia tu, nadhani huenda bado wanakamilisha utenganishaji wa mizigo .Habari ndugu zangu.
Niliagiza simu kupitia AliExpress mwezi wa 12 mwaka jana.
Mzigo unaonekana umefika Tanzania tangu tarehe 2 Januari 2026. Tracking number inaonyesha “customs clearance started”.
Ni zaidi ya wiki tatu sasa mzigo umekwama kwenye ukaguzi wa forodha, na naona Speedaf ndio wanapaswa kuniletea. Nifanye nini ndugu zangu, maana tarehe za kupokea mzigo ambazo AliExpress waliniwekea tayari zimeshapitiliza
mtumie messaje muuzaj pale allexpress kwamba hujapata mzigo na kwakuwa delivery ishapita omba refund faster wakurudishie hela na watafanya ivo usichelewe ukichelewa itajitiki kuwa imekuwa receivedHabari ndugu zangu.
Niliagiza simu kupitia AliExpress mwezi wa 12 mwaka jana.
Mzigo unaonekana umefika Tanzania tangu tarehe 2 Januari 2026. Tracking number inaonyesha “customs clearance started”.
Ni zaidi ya wiki tatu sasa mzigo umekwama kwenye ukaguzi wa forodha, na naona Speedaf ndio wanapaswa kuniletea. Nifanye nini ndugu zangu, maana tarehe za kupokea mzigo ambazo AliExpress waliniwekea tayari zimeshapitiliza
Shipping agentNipeni uzoefu wa kuagiza vitu Aliexpress, hao speedof ni wakina nani???????
-Fungua account AlexpressNipeni uzoefu wa kuagiza vitu Aliexpress, hao speedof ni wakina nani???????
Thanks😘-Fungua account Alex press
-Weka contact details zako kama namba ya simu na Sanduku la Posta na barua pepe
-Weka kiasi cha kiasi cha pesa kwenye Visa (Mpesa Visa, unaweza pia tumia bank account inayoruhusu online payments)
Anza kusearch bidhaa utakayo,ukiichagua kuna sehemu ya kulipia then unatumiwa tracking#, ambayo utakuwa unajulishwa toka mzigo unatoka huko mpaka unafika bongo, ukifika Tanzania, kama utauchukulia Posta ama Kikuu ambao ni agents wa Speedaf ambao ndo wasafirishaji.
Kuna mizigo ambayo utalipia kodi ambayo itakaguliwa na afsa wa TRA pale posta na utakayochukulia Kikuu ni haina kodi, japokuwa na posta mingine haina kodi pia.
Ukikamilisha account unakuwa na address kama hii hapa chiniThanks😘
Chimbo langu la kubebaga laptop na tv hukoUkikamilisha account unakuwa na address kama hii hapa chini
Ndio maana Mimi huwa nakataga tamaa KabisaShida inakuwa Tanzania, nadhani ni namna yetu ya kufanya mambo taratibu, bila kujali na uzembe.
Niliagiza machine mbili ndogo kupitia Kikuu last Yr November, wachina walifanya haraka sana hdani ya wiki mbili zilikuwa Dar, changamoto ikawa kusort mzigo, kuupeleka kwa watu wa delivery hadi kunifikia. Ilibidi niende ofisi zao pale Shoppers Plaza, Mikocheni. Napo bado niliwekwa kama wiki hivi nasubiria, nimeupata January hii, imagine toka November.
Fuatilia ujue mzigo ulipo.
Fanya hivi..mtumie messaje muuzaj pale allexpress kwamba hujapata mzigo na kwakuwa delivery ishapita omba refund faster wakurudishie hela na watafanya ivo usichelewe ukichelewa itajitiki kuwa imekuwa received
nilishawah agiza mzigo nauona umefika lkn siupat nikawasiliana na aliyeniuzia allexpress na kumpa malalamiko yang
ikapiga posta makao makuu post wakasema niufate posta flan akat asubuh nilienda wakasema aupo nikarud wakanipa sometimes bhn post wana mambo ya ovyo.
Kama wewe sio mvumilivu, ni bora usiagize vitu abroad. Hata gari, kama huwezi kuvumilia siku 60 walau, bora ukaenda yard ukachagua gari yako ukaondoka nayo.Ndio maana Mimi huwa nakataga tamaa Kabisa
Hii ndio maana halisi ya Bongo nyoso !Shida inakuwa Tanzania, nadhani ni namna yetu ya kufanya mambo taratibu, bila kujali na uzembe.
Niliagiza machine mbili ndogo kupitia Kikuu last Yr November, wachina walifanya haraka sana hdani ya wiki mbili zilikuwa Dar, changamoto ikawa kusort mzigo, kuupeleka kwa watu wa delivery hadi kunifikia. Ilibidi niende ofisi zao pale Shoppers Plaza, Mikocheni. Napo bado niliwekwa kama wiki hivi nasubiria, nimeupata January hii, imagine toka November.
Fuatilia ujue mzigo ulipo.
Hua naagiza Kikuu sijawahi Aliexpress kwa kuhofia kua hawana wakala, umenifumbua akili kua kumbe Kikuu wana connection nao, naweza kupokea mzigo wangu kupitia wao, basi wiki ijayo najaribu kuagiza kitu kidogo nione kitanifikiaje.Ukikamilisha account unakuwa na address kama hii hapa chini