Simu nilizowahi kutumia for the past two years

Simu zaidi ya hamsini(50) umetumia kwa miezi 24( 2yrs) inamana kila mwezi ulkuwa unanunua simu mpya hii kali kuliko,itakuwa muuza simu ww.
bila shaka mkuu
 
Umetisha kiongozi, ulikuwa kwenye research au nini ulikuwa unafanya? Tangu 2015 hadi leo nimetumia simu mbili tu.
not a research... I was a business...
 
kwa upande wangu nmeuza na kununua sana simu for the past two years.... zimeniingizia sana hela.... that is the reason
Kama unauza na kununua inawezekana. Nikajua kwa matumizi yako zinaharibika au kupotea ndo ununue. Maana simu zote hizo kwa two years ni nyingi sana. Mimi miaka miwili nimetumia simu nne tu
 
Kama unauza na kununua inawezekana. Nikajua kwa matumizi yako zinaharibika au kupotea ndo ununue. Maana simu zote hizo kwa two years ni nyingi sana. Mimi miaka miwili nimetumia simu nne tu
Mimi nimetumia Moja tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kweli maisha tunatofautiana.
 
Wee utakua mnunuaji maarufu wa simu za wizi, yani mateja na boda wakiiba wanakuletea wewe.
 
Kama unauza na kununua inawezekana. Nikajua kwa matumizi yako zinaharibika au kupotea ndo ununue. Maana simu zote hizo kwa two years ni nyingi sana. Mimi miaka miwili nimetumia simu nne tu
Yeah ni hivo.... kuna simu zilikuwa hazimalizi hata masaa masaa 6 mkononi....
 
Mimi nimetumia Moja tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kweli maisha tunatofautiana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huawei wapo gudaaa kuna mnyama p9 huyo mashineee
ram na process utadhan pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…