Simu nilizowahi kutumia for the past two years

Mimi simu hii mpaka sasa sijawahi kununua nyingine,hii ni nyoko
 
miaka 2 simu 67... wastani wa simu 3 kwa mwezi.....bila shaka wewe utakuwa muuza duka la simu sasa vile kuishika unahesabia umetumia
 
sizungumzii simu nilizoshika.... nazungumzia nilizonunua na pesa cash..... kuwa muelewa....
 
Umewaza kama mm ... Mwamba kataja simu aliZowahi shika uyu
ningetaja na simu nilizowahi kushika pasingetosha mkuu.... mfano mdogo tu... s6, s6 edge, s6 edge+, s7, s7 edge na s8 zote nimezishika lakini sijawahi kaa nikazitumia.... umeona nmezitaja hapo???
 
Sawa bosi [emoji36] [emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…