Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
niuze cm bhasKwa hiyo unaona kama kitu cha ajabu sana au??? Kwa wale wanaonijua hata hawanishangai hata kdg....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niuze cm bhasKwa hiyo unaona kama kitu cha ajabu sana au??? Kwa wale wanaonijua hata hawanishangai hata kdg....
Toa specification zake hapahuawei p10 plus unalipia sh ngp?
Umewaza kama mm ... Mwamba kataja simu aliZowahi shika uyuww ni wakala wa m pesa
duh huyu nomaUmewaza kama mm ... Mwamba kataja simu aliZowahi shika uyu
ningetaja na simu nilizowahi kushika pasingetosha mkuu.... mfano mdogo tu... s6, s6 edge, s6 edge+, s7, s7 edge na s8 zote nimezishika lakini sijawahi kaa nikazitumia.... umeona nmezitaja hapo???Umewaza kama mm ... Mwamba kataja simu aliZowahi shika uyu
Sawa bosi [emoji36] [emoji36]ningetaja na simu nilizowahi kushika pasingetosha mkuu.... mfano mdogo tu... s6, s6 edge, s6 edge+, s7, s7 edge na s8 zote nimezishika lakini sijawahi kaa nikazitumia.... umeona nmezitaja hapo???