Simu nilizowahi kutumia for the past two years

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
1,700
Reaction score
1,761
SAMSUNG
s4 moja
s5 zaidi ya 5
j5 zaidi ya 5
note moja
note 2 tatu
note 3 zaidi ya 5
grand prime plus moja
note 4 moja
note 5 tatu

HUAWEI
p7 mbili
p8 1
p8 lite zaidi ya 5
gr5
gr5 2017
p10 plus(Huyu mnyama ndo namtumia mpaka sasa)

SONY
z1 moja
z2 mbili
z3 tatu
z3+ moja
z5 mbili

IPHONE
4s moja
5 tatu
5s tatu

HTC
m7 nne
m8 moja
m9 moja

LG
g2 2(niliipenda sana design ya hii simu)
g3 mbili

BLACKBERRY
z10 moja

Simu nyingi zimesahaulika hapo... na pia kuba brand zingine ambazo siyo famous sijaziandika....

nnewahi kutumia s5 na note 3 ambazo zilikuwa zinashinda na charge siku nzima while zingine zikiwa zinakaa na charge kawaida, nadhani ni suala la utofauti wa model tu... Pia kwa hizi samsung za model za chini camera yake ipo kawaida except kuanzia s5 na note 4 ambazo zina mode kwenye camera ambayo inaitwa selective focus... only this mode ndo inatoa picha clear...

pia kwa upande wa sony, most of them zilikuwa zinakaa na charge japo zipo very delicate na zinapata sana moto...

kwa upande wa htc, ilikuwa ni simu poa... with the best camera mfano kama m9 ilikuwa na camera nzuri sana na ni moja ya simu ambayo nilikaa nayo sana...

Iphone ni simu nzuri(best quality) na pia design nzuri pia... ila kwa hizi models za chini walizingua kwenye swala la charge.... may be kuanzia 6+,7+ na kuendelea....

Lg g2 ilikuwa ba best design.... kashape kazuri... screen to body ratio kubwa... super amoled display... but ndo zilikuwa hazikai na charge.... thou nmewahi tumia lg g3 tmobile... ilikuwa simu ngumu sana na ilikuwa inakaa sana na charge tofauti na lg g3 zingine

Blackberry z10 nayo ilikuwa poa sana.... simu haina navigation keys... watu wengi sana nilikuwa nawatoa ushamba.... nadhani simu zoote ambazo hazina navigation keys starting from iphone X wamecopy kwa huyu jamaa

huawei nyingi zilizotoka before 2016 zipo hazikuwa poa sana kwenye battery japo walikuwa na front camera bomba sana.... ukipata huawei iliyokuwa released from 2016 na kuendelea hutojutia... ni simu moja bomba sana... good design... best camera... large storage na pia kajitahidi sana kwenye battery....

Currently nipo na huawei p10 plus and soon I will switch to huawei p20 pro... Am in love with huawei now......

hiyo ndo experience yangu kwenye smartphones.....
 
Acha useng wewe s5 zaidi ya 5 my ass.... hiyo hela huna...
 
Back
Top Bottom