Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

simu nimeikuba na nimeitumia sana na ni nzuri sanaaa ni simu ya mezani ile ya kuzungusha namba naipenda sana na ni bora sana
 
Hii ndio simu nimeikubaligi mpaka nikaumwa baada ya kuipoteza nilimuazima mtu akadai imeibiwa Motorola droid.... Camera yake hata iPhone, Apple, Samsung, tecno na uchafu mwingine haviingia hapo
 
Nikaja kutumia htc one x + kwangu mimi ikikuwa ya moto sana
 
Nokia sirocco8800 ni kazito na ngumu kama jiwe,2009nilinunua used mbele,Nilitumia wee kisha nikaigawA
 
Simu ambayo Nimeipenda na sijutii kuwa nayo ni infinx hot 8, ina ukubwa wa Gb64, battery yake ndo kiboko Nipo online 24/7 bettery inakaa masaa 16. Ukiwa on and off online. Unatumia bila charge siku 3. Bettery power 5000mAh.

Nilizo wahi tumia zilikuwa nzuri but changamoto ni bettery ni Nokia aina zote, tecno H6,
 
Siemens c25, c35, siemens mayai

Nokia 3310, nokia 210, 1110, 1100, 1280,

NokiaN95, N75, N70, C2,C1, lumia 650, lumia 680, lumia 720,
Nokia3220 ina vitaa pembeni
Express music, Nokia 6610

Sony ericson K version zote hizi (father alikuwa akifanya kazi humo ndani)

Sony ericson W version zote
Experia x1, x2 ( windows version )

Nec ( Android 2.1 )
Sharp ( Android )
Panasonic ( za batan )

Samsung ,S1, Note1, Note2 Note3 ,Note4 ,Note 5,s6, Note Edge!
S2, S3, S3min, S4, s4min, A5, A7 ipo mpaka leo,

Huawei, Y300 ( shukran kwa tigo ) y6,y7, p6, p8,

Sagem
Motorola kichwa cha kambale ( display ya blue )

Moto v3, v6, v6!

Iphone, 3g, 4, 4s, 5, 5s, 6, 6s,7, 7plus, 8, 11

Oppo A12, A31

Benq

Meizu( Xiom i )

HTC m8, m9, desire 610,

Blackberry bold.

Aisee ni nyingi mnoo
 



Mwamba hizi ni simu umewahi tumia ...uzi unataka kuikubali/kuzikubali sana..
 
Mpaka afisa elimu kata...? ffs acha ufala...πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ½
 
Nokia c2 na Nokia x2 kwakweli nilizipenda kutoka moyoni, Nokia sijui walikwama wapi matoleo yao yalikua makali sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…