Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

Philips na mkonga wake hiyo ilikuwa hamna haja ya kutafuta mtandao bali mtandao unakutafuta wewe.
Philips Orange Savy.. Noma sana huyo mnyama,, mamdogo alinilazimisha tubadilishane na Siemens yake sababu ya mtandao
 
Lenovo kwa upande wa smartphone,sijui ilinifanyaje
 
Sorry Chief Hivi naweza pata simu gani yenye storage kuanzia Gb 32 nakuendelea pia yenye clear camera bajeti icheze 350k
 
Nokia e72 mwaka 2012. My all time favorite phone
 
Nokia N72, Huwawei Y9 2019, na sasa natumia huwawei P30 ziko vema sana hizi simu.
 
Sorry Chief Hivi naweza pata simu gani yenye storage kuanzia Gb 32 nakuendelea pia yenye clear camera bajeti icheze 350k
kwa pesa hyo unapata Tecno na infinx mpya kabisa lakin pia kama mdau wa simu za mkononi unapata samsung kali tu
 
n9300i Nokia, bonge la simu asee enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…