Denis Alphonce
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 675
- 931
Ni bahati tu mzee nimetumia bb curve Mara mbili zote nilinunua kwa washkaji, BB storm niliuziwa na jamaa ilikuwa Ina touch moja Safi Sana z10 nimetumia 3 moja nilichukua mtandaoni but Kama unazitaka uwe una search kupatana, na zoom jiji utapataMkuu ukifahamu chimbo lake hapa tupeane maujanja
Simu matata sana hizi
Hakika. Ni simu iliyouza zaidi kuliko toleo lolote la NokiaNokia 3310, ilikuwa simu nzuri sana
Umenfanya nitamani nikanunua hii simu.
Kuna Iphone 12 chukua hii inapicha nzuri
Kuna simu zinasifiwa kweli Sikh izi REDMI XIAOMI lakin sijapata comments hats moja kuhusu ubora wao
Ahaaaazingatia maudhui ya uzi.
watu wanataja simu za miaka 15 iliyopita,wewe unataja smartphone ya leo!!!
Mpesa cjaelewa jinsi ya kulipaAliexpress unaweza kulipa kwa mastercard, visa za benki au mpesa, airtel mastercard
Mpesa na airtel wana huduma za master card zinafanya kazi kama carrd yoyote ya mastercard unawaza fanya manunuzi mtandao wowote unaokubali card za master card kama aliexpress, alibaba, ebay, amazon, wish n.k
Sikuwahi kujuta kuitumia, nilinunua mara ya kwanza nikaitumia kama mwezi tu hivi nikaibiwa, nililia machozi! Nilivyokuja kununua tena nikanunua hiyo hiyoHakika. Ni simu iliyouza zaidi kuliko toleo lolote la Nokia
It was a talk of townSikuwahi kujuta kuitumia, nilinunua mara ya kwanza nikaitumia kama mwezi tu hivi nikaibiwa, nililia machozi! Nilivyokuja kununua tena nikanunua hiyo hiyo
Motorola anaileta upya na 5G teknolojia huu ndio muonekano wake mpyaHivi bado zipo?