Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Akupe nini sasaanipe na bwana wake nimsaidie kuichangamsha
Mkataaa pema....Kumekucha
Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka
Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa
"Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA
Haina ex anaemsumbua
Madeni wanaomsumbua
Wadada, mijimama inayomsumbua
Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME, familia yake, Mimi, na dada yangu
Haelewi kwamba huyu mwanaume NI mzima kweli au kuna kitu anamficha??"
Haya Wana, mshaurini binti WA watu anataka msaada
Kama mumeo hana michepuko, anza wewe kuchepuka ili simu yako iwe ya moto, ijae amsha amshaKumekucha
Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka
Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa
"Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA
Haina ex anaemsumbua
Madeni wanaomsumbua
Wadada, mijimama inayomsumbua
Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME, familia yake, Mimi, na dada yangu
Haelewi kwamba huyu mwanaume NI mzima kweli au kuna kitu anamficha??"
Haya Wana, mshaurini binti WA watu anataka msaada
UweeeKweli ni ngumu sana kumuelewa kiumbe mwanamke...
KeshazizoeaHizo amsha amsha muulize zitamjenga au zitambomoa
Mashine na simu vinaingiaje sa
Unapenda sana attentionKumekucha
Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka
Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa
"Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA
Haina ex anaemsumbua
Madeni wanaomsumbua
Wadada, mijimama inayomsumbua
Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME, familia yake, Mimi, na dada yangu
Haelewi kwamba huyu mwanaume NI mzima kweli au kuna kitu anamficha??"
Haya Wana, mshaurini binti WA watu anataka msaada
Uwee, ushauri Kwa mwanamke mwenzio sioKama mumeo hana michepuko, anza wewe kuchepuka ili simu yako iwe ya moto, ijae amsha amsha
Hata wewe unapenda ndio maana ume commentUnapenda sana attention
Muulize hayaKeshazizoea
wewe uzeeni utakuwa na nguvu>?Muulize haya
1 Anataka toxic guy or nice guy
2 Yupo tayari mambo hayo anayoyataka yakiendelea Hadi uzeeni.