Simu ya mpenzi wangu haina amsha amsha. Nifanyeje?

Simu ya mpenzi wangu haina amsha amsha. Nifanyeje?

Kumekucha

Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka

Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa

"Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA
Haina ex anaemsumbua
Madeni wanaomsumbua
Wadada, mijimama inayomsumbua
Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME, familia yake, Mimi, na dada yangu
Haelewi kwamba huyu mwanaume NI mzima kweli au kuna kitu anamficha??"

Haya Wana, mshaurini binti WA watu anataka msaada
Khakhakhaaaa.... Anaonekana Anapenda hekaheka huyooo!!
 
Yaan mi najitahidi kumficha kumbe yy ananiona mm Sina amsha amsha, sasa ngoja nisifute hz charts zangu na mdogo wake alivokua anasifia show yangu
 
anaweza mpiga chini mpenzi wake kwa sababu hyo tu, kiumbe mwenye uwezo wa kuongea na nyoka na wakaelewana ni hatari sana, halafu akishaenda huko akakutana na la kukutana nalo utasikia, all men are dog
 
Wanaume wekeni AMSHA AMSHA kwenye simu zenu
 
Ana hoja, kama yupo naye miaka mingi halafu hajawahi ona amsha amsha.. Mwanaume hajaumbwa kuwa na mwanamke mmoja, tunajitahidi tu kuzuia amsha amsha zisiwe za mara kwa mara
 
Ana hoja, kama yupo naye miaka mingi halafu hajawahi ona amsha amsha.. Mwanaume hajaumbwa kuwa na mwanamke mmoja, tunajitahidi tu kuzuia amsha amsha zisiwe za mara kwa mara
Mwanaume wa kwanza kujibu kiume
 
Back
Top Bottom