Simu ya mpenzi wangu haina amsha amsha. Nifanyeje?

Kumekucha

Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka

Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa

"Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA
Haina ex anaemsumbua
Madeni wanaomsumbua
Wadada, mijimama inayomsumbua
Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME, familia yake, Mimi, na dada yangu
Haelewi kwamba huyu mwanaume NI mzima kweli au kuna kitu anamficha??"

Haya Wana, mshaurini binti WA watu anataka msaada
Binadama hajui anachotaka
Huyuhuyu akikutana na hizo amsha amsha anakuja tena Kuandika hapa hajakutana nazo kaandika anazitaka.

Chunguza vizuri hayo majina ya kiume kama unataka amshaamsha
 
Majina gan ya kiume yanatoa AMSHA amsha
 
Binadama hajui anachotaka
Huyuhuyu akikutana na hizo amsha amsha anakuja tena Kuandika hapa hajakutana nazo kaandika anazitaka.

Chunguza vizuri hayo majina ya kiume kama unataka amshaamsha
[emoji3][emoji3][emoji3]
mshauri wa ndoa unaandika sauwa
 
Back
Top Bottom