Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #41
kaka uko kwenye mateso ya ndoa episode ya ngapi?hakuna alichojibu hapo...ishu ni kwamba nyi-e hamna msicholalama.....mkitendewa ubaya mnalalama....mkitendewa wema mnalalama.....sijui tuwaweke kundi gani sasa
wala sijaoa na sina mpango....naona tu na kusoma wanayopitia wengine naishia kukata tamaa kuhusu ndoa...kaka uko kwenye mateso ya ndoa episode ya ngapi?
polewala sijaoa na sina mpango....naona tu na kusoma wanayopitia wengine naishia kukata tamaa kuhusu ndoa...
kudos tu yupole
wengine tuko na ndoa nzuri hatunaga majuto,
sauwakudos tu yu
mshauri wa ndoa unaandika sauwasauwa
[emoji3][emoji3][emoji3]anipe namba ya bwana wake nimsaidie kuichangamsha
Binadama hajui anachotakaKumekucha
Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka
Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa
"Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA
Haina ex anaemsumbua
Madeni wanaomsumbua
Wadada, mijimama inayomsumbua
Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME, familia yake, Mimi, na dada yangu
Haelewi kwamba huyu mwanaume NI mzima kweli au kuna kitu anamficha??"
Haya Wana, mshaurini binti WA watu anataka msaada
Majina gan ya kiume yanatoa AMSHA amshaBinadama hajui anachotaka
Huyuhuyu akikutana na hizo amsha amsha anakuja tena Kuandika hapa hajakutana nazo kaandika anazitaka.
Chunguza vizuri hayo majina ya kiume kama unataka amshaamsha
Binadama hajui anachotaka
Huyuhuyu akikutana na hizo amsha amsha anakuja tena Kuandika hapa hajakutana nazo kaandika anazitaka.
Chunguza vizuri hayo majina ya kiume kama unataka amshaamsha
[emoji3][emoji3][emoji3]
mshauri wa ndoa unaandika sauwa