Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

Huu ni mchoro wa kitapeli [emoji23][emoji23][emoji23]mtu anataka watapeli kuwauzia app... Sio rahisi kiivyo aise
 
Kuna wanawake wameolewa wanaheshimu ndoa zao, hawaposti picha zao mitandaoni kukwepa kutongozwa. Hii ipo sana tu hata bila hiyo app mkeo akipost sura yake, ukute ana sura nzuri atatongozwa mpaka mtagombana na unaweza kuipasuapasua simu yake. Wanawake wenye sura nzuri hutongonzwa sana mitandaoni. Kama ana sura mbaya akiposti kufikisha like tano ni bahati
 
Huu mchezo wa kuhack au kumfuatilia lazima uvunje mahuasiano.

Mimi mbinu nyingine ambayo huwa natumia ni pale akiwa amelala fofofo usiku, huwa naingiza password yake na kucheki madudu yake wanawake ni malaya wakuu, hakuna ambaye nimewahi kukuta yuko katulia, asubuhi tunaachana

Hii mbinu huwa naitumia sana kwa mamanzi ambao niliwadanganya nitawaoa ili nipate sababu halali ya kuwapiga chini. Haijawahi kuniangusha

Kwa ushauri tu manzi ambaye yuko active sana kwenye mitandao ya kijamii na kujipost sana au ana marafiki wengi wa kiume tayari hiyo ni red flag tosha

All in all your dick inside her wasn't the first one, and it won't be the last
 
Naomba ujuzi au njia za kufwata ili ni hack
 
Mimi mke wangu kabla sjamuoa nilimfuatilia mawasiliano yake kwa miaka 2 na skukuta chochote. Na ndicho kilinifanya nimuoe

Kabla yake nilifuatilia watatu nliona mambo mazito nkawabwaga, ila huyu skuona anything

So napingana na wanaosema wanawake wote hawajatulia, angesema wengi hawajatulia. Ila trust me, decent girls wako wengi tu

Ukioa malaya lazima ataendelea na umalaya wake
 
Tangazo lako la kuuza Application umeliweka kitaalamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…