Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

Kukagua simu ni jambo moja.

Kubwa kabisa ni kukuta jitu linamtongoza halafu haoneshi msimamo kuwa mpo nae kwenye ndoa au uhusiano, anamjibu mubashara tu!!! Hapo ndipo utapojua kisamvu ni mboga na mhogo ni mzizi.
Mie sifichi lazima niangalie tuu hata iweje mbona yangu akijisikia anaangalia
 
Ndiyo pakujiuliza hapo unayemficha anakupikia anakufulia anakufanyia utakacho lakini simu tu mmm tunamsingizia shetani kweli naye atakuwa anamwambia Mungu watu wako siwawezi
Haha naona hadi shetani mwenyewe ametuchoka daah
 
nakuja bamdogo ila basi hizo hela ninazokudai ziwe nyingiiii sana
Navuta picha tu hiyo nyingiiii ulivyoitamka.

Pesa na wanawake ni kama mkojo na kikojoleo umemaliza kusoma nifute kabla espy hajasoma?
 
Navuta picha tu hiyo nyingiiii ulivyoitamka.

Pesa na wanawake ni kama mkojo na kikojoleo umemaliza kusoma nifute kabla espy hajasoma?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
phone yangu iko na password kabisa sitaji complain naWife wangu..
 
Me siku akishika yangu kwa bahati mbaya lazima kibuti kinihusu.
 
Back
Top Bottom