Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,387
..........
Hehe na hamu kweli na simu yako
Teh hongera aiseeHa ha ha sahauuu kama yako sgus yangu utaisoma
Teh hongera aisee
Me yangu anashinda nayo le mbebesAsante ntakuja unipe yako bas nijizoeze
Atleast be close to his device you'll be updated indirectly. Ila usubiri kwa sisi wabongo eti nikupe taarifa ya namna hiyo sahauI assume if he sees someone else he will let me know that things are not working between us.
Dabby that's why you marry a man who is your friend, you will come to know his friends during your conversations, his business affairs the same.Atleast be close to his device you'll be updated indirectly. Ila usubiri kwa sisi wabongo eti nikupe taarifa ya namna hiyo sahau
Then, is not only love diversion affair's you need to know in hubby's phone. There's biz, his friends, n.k
Me yangu anashinda nayo le mbebes
Mbabes wangu banaYupi sasa
Mbabes wangu bana
Ooh haya ntakutambulisha kwake (usinistorishe hapa nipigwe ban mimi)Ndio simjui huyo aliepewa simu yako aiishike
Ooh haya ntakutambulisha kwake (usinistorishe hapa nipigwe ban mimi)
Wife is my friend. A close one. I have privacies but not to her....friends touch my phone why not her?Dabby that's why you marry a man who is your friend, you will come to know his friends during your conversations, his business affairs the same.
Anayeficha ficha lazima kuna kitu kibaya ulishaona mtu anapigiwa simu huku anaumwa jicho lote lipo kwenye simu kama juha maisha hayo mabaya sana, matatizo hayawezi kuisha watu wanalala uchi halafu mawasiliano ya simu eti siri hata shetani anashangaaNdiyo maana matatizo ya ndoa yamezidi. Sasa kama mnawekeana password za simu wanandoa je za bank.
Ukiachana na yangu, mzee na mama ndiyo ndoa ya demo kwangu. Wanaishi kwa raha hadi unapenda. Mama ali(kitaka) simu ya mzee anachukua bila wasiwasi mzee vivyo hivyo pia. Password za bank hadi leo zao wote nazijua na wote kila mmoja anaijua ya mwenzake.
Ndoa yenye siri siri za kishamba huwa ndiyo hizi zinazopumulia mipira tu.
Picha nzuri inavutiaNimuamua kushare na nyie huu ujumbe nimekutana nao sehemu ili uwe na Amani ya moyo fanya hivi;
Kwa wanandoa na wenye wapenzi waaminifu, uaminifu limekuwa ni jambo la msingi sana ili udumu na huyo uliyeingia naye kwenye ndoa, mjengee imani kuwa wewe ni wake na haitatokea siku ukamsaliti.
Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, kwenye baadhi ya ndoa kuna sarakasi nyingi sana. Katika ulimwengu wa sasa kumekuwa na tatizo kubwa la baadhi ya wanandoa kutibuana kila siku kisa kikiwa ni kutokuaminiana kupitia simu zao.
Kwa hili niseme tu kwamba, ni wanandoa wachache sana ambao wanaamini simu za wenza wao hazina madhambi, wengi wanahisi wanasalitiwa kupitia simu na ndiyo maana unaweza kukuta mke akishika simu ya mumewe tu inakuwa shida.
Si hivyo tu, wapo wake za watu nao hawataki kabisa simu zao zishikwe na waume zao, unajiuliza kwa nini iwe hivyo kama kila mtu anajiamini? Lakini sasa, leo naomba niwashauri kitu wale walioingia kwenye ndoa.
Kuna mambo ambayo unatakiwa kuyapuuza laa sivyo huwezi kuwa na amani katika maisha yako. Kama kweli unampenda huyo uliyenaye, usimfikirie vibaya! Jenga imani kuwa, hawezi kukusaliti.
Hii tabia kwamba simu ya mwenza wako ikiita tu unachungulia kujua nani kapiga, SMS ikiingia unafungua, ya nini kujipa presha? Hivi unadhani kweli unaweza kumzuia huyo mwenza wako asikusaliti kwa kutompa uhuru wa simu yake? Hili ni gumu hivyo unachotakiwa kufanya ni kumuacha na simu yake. Usijipe presha zisizo na msingi.
Unaweza kukurupuka, ukapokea simu ya mumeo, mara unakutana na sauti nyororo ya msichana, presha inakupanda bila kujua aliyepiga ni nani. Na yeye kwa kuwa aliyepokea siye aliyempigia, anakata.
Wewe huko uliko unachanganyikiwa, unafikiri aliyepiga ni mchepuko. Kumbe aliyepiga labda ni mfanyakazi mwenzake au rafiki yake wa kawaida tu. Wewe unakuja juu na kumwambia mumeo anakusaliti, kumbe hamna kitu kama hicho.
Au wewe mwanaume unaweza kuchukua simu ya mkeo, ukaenda kwenye sehemu ya meseji ukitaka kujua ni nani huwa anachati nao. Bahati mbaya unakutana na meseji ya kimahaba iliyotumwa na mwanaume ambaye alikosea namba. Wewe bila kuwa na uhakika na kile ulichoona unakimbilia kuhitimisha kuwa, mke si muaminifu.
Hili ni tatizo kubwa ndiyo maana leo hii nimeona niwakumbushe tu kwamba, simu ya mwenza wako achana nayo ili kujihakikishia amani ya moyo wako.![]()
Yaani watu mnaishi nyumba moja kitanda kimoja tena uchi, mlo mmoja mipango mnapanga pamoja halafu muogopane kuachiana simu.?Anayeficha ficha lazima kuna kitu kibaya ulishaona mtu anapigiwa simu huku anaumwa jicho lote lipo kwenye simu kama **** maisha hayo mabaya sana, matatizo hayawezi kuisha watu wanalala uchi halafu mawasiliano ya simu eti siri hata shetani anashangaa
Mzee naona upo na wenzetu hata salamu hautaki kunipa. ? Au umeshikiwa simu na mpwa?Ha ha ha mwenye thread mwenyewe mpiga story